From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
meaning of swing in english
meaning of kuzubaa in english
Last Update: 2019-09-27
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
on twitter, celebrations are in full swing.
kwenye mtandao wa twita, vifijo vilitamalaki.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
nor should they swing their legs to draw attention to their hidden ornaments.
wala wasipige chini miguu yao ili yajuulikane mapambo waliyo yaficha.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
i was imagining three or four boys standing on the bumper wanting to swing the car.
niliona kama wavulana watatu au wanne wakiwa kwenye sehemu ya mbele ya gari wakilitingisha kwa nguvu.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
look at this brave iranian lioness, first she swing kicks and then she side kicks the neanderthal truncheon wielding riot guard!
muangalie huyu simba-jike jasiri wa ki-irani, kwanza anapiga teke halafu anampiga teke la pembeni askari mtuliza ghasia anayefanana na mtu wa kale aliyebeba rungu!
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
a day after a horrific plane crash in eastern ukraine claimed the lives of nearly 300 people, speculation about who is to blame for shooting down the aircraft is in full swing.
siku moja baada ya tukio baya la kutunguliwa kwa ndege mashariki mwa ukraine iliyopoteza maisha ya watu wapatao 300, maneno ya kutafuta kujua nani wa kumlaumu kwa kuitungua ndege hiyo zimepamba moto.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
the controversial advert shows robert mugabe dining alone at christmas in a large mansion while he reminisces about "happier times" with former dictators, such as playing water tag with muammar gaddafi, making snow angels in the sand with saddam hussein, singing karaoke with mao zedong, pushing p. w. botha on a swing set, and riding a tank with idi amin.
tangazo hilo lililosababisha utata linamwonyesha robert mugabe akila peke yake wakati wa sikukuu ya noel katika jumba kubwa wakati huo huo akikumbukia “nyakati za raha” alizowahi kuwa nazo na madikteta wa zamani, kama vile kucheza mchezo wa kurushiana maji na muammar gaddafi kwa kutumia mpira, akitengeneza midoli ya malaika kwenye mchanga akiwa na saddam hussein, akiimba muziki wa karaoke akiwa na mao sedong, akimsukuma p.w botha kwenye bembea, na akiendesha pipa na idi amin.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting