Results for sword translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

sword

Swahili

upanga

Last Update: 2015-05-13
Usage Frequency: 8
Quality:

Reference: Wikipedia

English

the sword of the sword

Swahili

wachana na huyo mpuzi

Last Update: 2022-03-30
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

the opposite of the word sword

Swahili

kinyume cha neno panga

Last Update: 2019-10-18
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

and he killed james the brother of john with the sword.

Swahili

alimwua kwa upanga yakobo ndugu yake yohane.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

but they called their companion who took a sword and hamstrung her.

Swahili

basi wakamwita mtu wao akaja akamchinja.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

then they called their fellow, and he took the sword and hamstrung her,

Swahili

basi wakamwita mtu wao akaja akamchinja.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

and take the helmet of salvation, and the sword of the spirit, which is the word of god:

Swahili

upokeeni wokovu kama kofia yenu ya chuma, na neno la mungu kama upanga mnaopewa na roho mtakatifu.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

think not that i am come to send peace on earth: i came not to send peace, but a sword.

Swahili

"msidhani kwamba nimekuja kuleta amani duniani. sikuja kuleta amani bali upanga.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

English

but they called to their companion, and he took a sword in hand, and hamstrung (her).

Swahili

basi wakamwita mtu wao akaja akamchinja.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

when they which were about him saw what would follow, they said unto him, lord, shall we smite with the sword?

Swahili

wale wanafunzi wake walipoona hayo wakasema, "bwana, tutumie panga zetu?"

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

English

(yea, a sword shall pierce through thy own soul also,) that the thoughts of many hearts may be revealed.

Swahili

na hivyo mawazo ya watu wengi yataonekana wazi. nawe mwenyewe, uchungu ulio kama upanga mkali utauchoma moyo wako."

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

English

(then he said): bring them back to me, and fell to slashing (with his sword their) legs and necks.

Swahili

(akasema:) nirudishieni! akaanza kuwapapasa miguu na shingo.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

quenched the violence of fire, escaped the edge of the sword, out of weakness were made strong, waxed valiant in fight, turned to flight the armies of the aliens.

Swahili

walizima mioto mikali, waliepuka kuuawa kwa upanga. walikuwa dhaifu lakini walipata nguvu. walikuwa hodari katika vita wakashinda majeshi ya kigeni.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

and the keeper of the prison awaking out of his sleep, and seeing the prison doors open, he drew out his sword, and would have killed himself, supposing that the prisoners had been fled.

Swahili

askari wa gereza alipoamka na kuiona milango ya gereza imefunguliwa, alidhani kwamba wafungwa wote walikuwa wametoroka na hivyo akauchomoa upanga wake, akataka kujiua.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

and, behold, one of them which were with jesus stretched out his hand, and drew his sword, and struck a servant of the high priest's, and smote off his ear.

Swahili

mmoja wa wale waliokuwa pamoja na yesu akanyosha mkono, akauchomoa upanga wake, akampiga mtumishi wa kuhani mkuu, akamkata sikio.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

and out of his mouth goeth a sharp sword, that with it he should smite the nations: and he shall rule them with a rod of iron: and he treadeth the winepress of the fierceness and wrath of almighty god.

Swahili

upanga mkali hutoka kinywani mwake, na kwa upanga huo atawashinda mataifa. yeye ndiye atakayetawala kwa fimbo ya chuma na kuikamua divai katika chombo cha kukamulia zabibu za ghadhabu kuu ya mungu mwenye uwezo.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

swords

Swahili

upanga

Last Update: 2012-04-20
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Get a better translation with
8,874,838,756 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK