Results for tangible translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

you led our leaders to take action that resulted in tangible results.

Swahili

wewe uliongoza viongozi wetu kuchukua hatua ambayo ilisababisha matokeo yanayoonekana.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

god will pay them on that day their just due in full, and they will come to know that god is the tangible reality.

Swahili

siku hiyo mwenyezi mungu atawapa sawa sawa malipo yao ya haki, na watajua kwamba hakika mwenyezi mungu ndiye haki iliyo wazi.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the africa 2.0 kenya office will distribute the cards to the families of the victims and has requested the framed picture used for the makeshift altar to hang in their nairobi office as a tangible sign of worldwide solidarity.

Swahili

ofisi za africa 2.0 kenya office zitasambaza kadi kwa familia za wahanga na zimeomba picha iliyotumika kwenye ibada hiyo iwekwe kwenye ofisi za nairobi kama alama ya mshikamo wa kidunia.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

all seven presidential candidates, in next week’s general elections, have come under fire, for not incorporating anything tangible, to do with media in their manifestoes.these include, mcp/udf’s john tembo, dpp’s bingu wa mutharika, aford’s dindi gowa nyasulu, narc’s loveness gondwe, rp’s stanley masauli, petra’s kamuzu chibambo and independent james nyondo.this has since prompted some journalists, to question the country’s political officials, on whether they indeed regard the media, as the fourth estate or not, in line with the constitution.

Swahili

wagombea wote saba, katika uchaguzi mkuu wa juma lijalo, wameonja joto la jiwe, kwa kutokuingiza jambo lolote linaloonekana, kuhusu vyombo vya habari katika ilani zao. hawa ni pamoja na john tembo wa mcp/udf, bingu wa mutharika wa dpp, dindi gowa nyasulu wa afford, loveness gondwe wa narc, stanley masauli wa rp, kamuzu chibambo wa petra na mgombea binafsi james nyondo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
9,228,811,555 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK