Results for targeting translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

a petition targeting top usa and uk diplomats reads:

Swahili

hati hiyo ya malalamiko inayowalenga wanadiplomasia wa marekani na uingereza inasomeka kama ifuatavyo:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

a map showing penalties targeting gays and lesbians in africa.

Swahili

ramani ikionyesha adhabu zilizokusudiwa kwa mashoga na wasagaji nchini afrika.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

pakistani activist khudi ali killed in bombings targeting hazaras · global voices

Swahili

mwanaharakati wa pakistani khudi ali auawa katika mlipuko wa bomu

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

haiti: online maps shift from charting damage to targeting aid · global voices

Swahili

haiti: ramani za kwenye mtandao zaonyesha uharibifu pamoja na jitihada za kusambaza misaada

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

from azerbaijan to zambia, governments are targeting journalists with communications surveillance and need little excuse to continue doing so.

Swahili

kuanzia azerbaijan mpaka zambia, serikali zinawalenga waandishi wa habari kwa kuingilia mawasiliano yao na kwa hakika vitendo hivyo havivumiliki kuachwa kuendelea.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

as a result of the coronavirus pandemic, xenophobia has risen in many countries, primarily but not exclusively targeting people perceived to be chinese.

Swahili

kama matokeo ya janga hili la virusi vya korona, ubaguzi wa wageni umeongezeka katika nchi nyingi, kimsingi lakini sio tu unaowalenga watu wanaochukuliwa kuwa wachina.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

@ahmdhabib: if the explosions were targeting foreigners, they are aplenty in the villages and no one has attacked them there.

Swahili

@ahmdhabib: kama milipuko ilikuwa ikiwalenga wageni, wao ni wengi katika vijiji na hakuna mtu aliwashambulia wakiwa kule.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

nobody is sure if the airstrikes are targeting homes, buildings, mosques or previously bombed sites, therefore nobody knows if any change in tactics has occurred.

Swahili

hakuna anyejua kama mashumbulizi hayo ya anga yazilenga nyumba za watu, majengo, miskiti au sehemu ambazo zilishashambuliwa awali, kwa hiyo hakuna nayejua kama mbinu zimebadilika au la.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the last three years have seen a large number of abductions, extrajudicial killings and disappearances, almost exclusively targeting the tamil community as the government of sri lanka relentlessly pursued its military campaign.

Swahili

katika miaka mitatu iliyopita kumekuwa na matukio mengi ya utekaji, mauaji na kutoweka kwa watu, kulikolenga jamii ya watamil wakati ambapo serikali ya sri lanka ilipokuwa ikitekeleza kampeni yake ya kijeshi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

different testing recipes targeting different parts of the coronavirus genetic profile were developed in china, france, germany, hong kong, japan, and the united states.

Swahili

vigezo mbalimbali vya kupimia vilivyolenga sehemu mbalimbali za utaratibu wa kijenetiki wa virusi vya korona viliundwa nchini china, ufaransa, ujerumani, hong kong, japan na marekani.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

crowds panicked and people fled over gates and into the streets after two assailants unleashed a stun grenade and several rounds of automatic gunfire, allegedly targeting police officers standing guard at the ottoman-era site.

Swahili

watu walipatwa na taharuki huku wakikimbia na kuruka mageti na kisha kuingia mitaani pale wavamizi wawili walipotupa bomu la mkono pamoja na kuvurumisha mizunguko kadhaa ya risasi, shambulizi linalodhaniwa kuwa liliwalenga maafisa wa polisi waliokuwa wameweka doria katika eneo la ottoman-era.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

fifa's task force against racism disagreed with the ruling of its disciplinary panel to decline to punish national federations for racist and homophobic chants by fans because the fans were not targeting one player in particular, but entire teams.

Swahili

kikosi kazi cha fifa dhidi ya ubaguzi wa rangi kilifika mahali pa kutokukubaliana na maamuzi ya kamati ya nidhamu kuachana na adhabu dhidi ya mashirikisho ya mataifa kadhaa kwa maneno ya kushangilia yaliyokuwa na sura ya ubaguzi wa rangi na kimapenzi yaliyotolewa na mashabiki ambayo hayakuwa yakilengwa kwa wachezaji fulani fulani, bali kwa timu nzima.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

strengthen nutrition programs targeting the most vulnerable groups, and their access to adequate nutrition; enhance efficiency of budgetary expenses; improve management of healthcare human resources; introduce risk-free delivery kits; bring doctors back to health centers in rural areas.

Swahili

kuboresha miradi ya lishe kwa kuangalia zaidi makundi yanayoathirika zaidi na namna bora ya upatikanaji wa lishe ya kutosha; kuboresha ufanisi wa matumizi ya bajeti ya afya; kuboresha usimamizi wa rasilimali watu katika utoaji wa huduma za afya; uwepo wa vifaa kwa ajili ya kutolea huduma za dharura za afya; kuwarudisha madaktari katika vituo vya afya vya vijijini.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,815,037,713 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK