Results for technica issues and instructions ... translation from English to Swahili

English

Translate

technica issues and instructions issued

Translate

Swahili

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

2012 april: land issues and bi-elections in arumeru

Swahili

2012 aprili: masuala ya ardhi yajitokeza katika uchaguzi mdogo arumeru

Last Update: 2023-09-09
Usage Frequency: 1
Quality:

English

shall you have the male issues, and he the female issues?

Swahili

je! nyinyi mnao wana wanaume na yeye ndio awe na wanawake?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

his blog features a lot of poetry and prose in which he explores different issues and themes.

Swahili

blogu yake ina mashairi mengi na mapingiti ambamo kwayo hupitia mausala na maudhui mbalimbali.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the campaign is also seeking to inform and raise awareness on the issues and limitations of the current connectivity conditions.

Swahili

kampeni hiyo ilitafuta pia kujulisha na kukuza uelewa wa masuala na vikwazo vinavyotokana na hali ya sasa ya mtandao.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

another one for relatives and friends, and probably another one to look at national issues and avenues to stay in power.

Swahili

mwingine unautumia kwa ndugu na marafiki na muhula wa mwisho unautumia kuyatazama masuala ya kitaifa na namna ya kubaki madarakani.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

a new set of rules and instructions from the chinese government itself suppresses china media outlets from reporting almost anything about google’s recent pull out from china.

Swahili

kanuni mpya na maagizo kutoka kwa serikali ya china yenyewe zinazozuia vyombo vya habari vya china kutokutangaza kitu chochote kuhusiana na tukio la hivi karibuni la google kujiondoa nchin china.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

anna greer at the punch blogs about, “human rights and social justice issues and … the state of the world”.

Swahili

anna greer katika blogu ya the punch abnablogu kuhusu, “haki za binadamu na masuala ya haki za jamii na… hali ya dunia”.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

we simply do not want to see a conversation that is dominated by people who might be sympathetic of the ruling party's position on national issues, and are hence more likely to be part of the ancient echo chamber.

Swahili

hatutaki kuona mazungumzo yanayotawaliwa na watu wanaoonekana kuvumilia utendaji wa chama tawala katika mambo ya kitaifa, na ambao ndio wanaosadikiwa kuwa sehemu ya mwangwi wa kale wa chumba cha siri cha majaji.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the new qatari administration is said to be a very conservative one that believes the website should stick to conservative religious issue and removed other sections

Swahili

inasemekana kwamba uongozi mpya wa qatari ni ule wenye msimamo wa kihafidhina unaoamini kwamba uendeshaji wa tovuti hiyo hauna budi kushikilia mitazamo ya kidini yenye msimamo wa kihafidhina na kuondolea mbali vipengele vingine.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

here is a plain statement to men, a guidance and instruction to those who fear allah!

Swahili

hii ni bayana kwa watu wote, na ni uwongofu, na mawaidha kwa wachamngu.

Last Update: 2024-04-14
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and finally, in a satirical twist, azad essa uses the terreblanche event to pick apart issues and stereotypes in the south african muslim community in his post on thought leader "was terror’blanche a muslim?"

Swahili

na mwisho, katika mpindisho wa kejeli, azad essa anatumia tukio la terreblanche kubainisha mambo na imani maarufu juu ya watu katika jumuiya ya waislamu wa afrika kusini katika makala yake kwenye safu za thought leader "kiongozi wa fikra" “je gaidi'blanche alikuwa muislamu?"

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

i know this can work from participating in such an event in 2005 tens of thousands of individuals – including government and business leaders, ngos and specialists — came together to discuss real issues and concerns facing the world’s urban communities.

Swahili

najua kwamba jambo hili linawezekana maana nilipata kushiriki katika tukio kama hili mnamo mwaka 2005 makumi elfu ya watu binafsi - wakiwamo viongozi wa serikali, wafanyabiashara, wana-asasi zisizo za serikali na wataalamu - wote walikuja kujadili masulaa yanayozikabili jamii zinazoishi mijini hapa duniani.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

#gulu mr okello says separation of children and parents is an issue and urges @pwatchug to keep bringing the mps to answer qns #mpsengage — danny t (@dannyt_ug) february 26, 2015

Swahili

bw okello anasema kutengana kwa watoto na wazazi ni suala gumu na aliwasihi @pwatchug kuendelea kuwaleta wabunge wajibu maswali

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.

Get a better translation with
9,166,960,153 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK