From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
technological innovations to track counterfeit drugs
ubunifu wa kiteknolojia
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
the event is exponentially spreading across africa to help address the technological challenges faced in the african continent through meaningful collaborations.
tukio hili limeenea afrika nzima kusaidia kukabili changamoto za teknolojia zinazolikabili bara la afrika kwa kutumia mifumo mizuri ya ushirikiano.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
with the recent technological advances, where paper newspapers are going extinct because people read them online, this personable touch is rare to find.
kufuatia maendeleo ya kiteknolojia siku hizi, ambayo yanasababisha magazeti katika muundo unaobebeka kuanza kupotea, na watu kusoma zaidi magazeti kwenye mtandao wa internet, uwepo wa gazeti hili ni tunu ya pekee.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
is he aware that remittances from the diaspora are currently being harnessed to build roads, airports, and technological cities in nigeria, kenya and recently the republic of southern sudan?
anajua kwamba pesa wanazotuma raia waishio nje ya nchi hivi sasa zinaelekezwa katika kujenga barabara, viwanja vya ndege, miji ya kiteknolojia nchini naijeria, kenya na sasa jamhuri ya sudani kusini?
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
glad that finally, a technological solution has been found to connect legislators to p'ple — qatahar raymond (@qataharraymond) february 26, 2015
nina furaha kwamba hatimaye, suluhisho ya kiteknolojia limepatikana na kuwaunganisha wabunge na wananchi
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
while it is now common to see many blogs initiated by young people who discuss social, technological or personal issues, there are now buddhism-themed blogs such as bodhikaram, saloeurm, khmerbuddhism.
wakati ambapo hivi sasa ni jambo la kawaida kuona blogu nyingi zinazoanzishwa na vijana wanaojadili masuala ya kijamii, ya kiteknolojia au ya kibinafsi, sasa kuna hata pia blogu zenye kubeba ujumbe wa imani ya buda kama vile bodhikaram, saloeurm, khmerbuddhism.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
since launching on 11 october, 2009, caribbean book blog has posted a series of thoughtful, statistics-laden essays on the issues facing caribbean publishers, writers, and readers, at a time when literary publishing around the world is grappling with financial hardship and technological change.
tangu ilipoanzishwa rasmi tarehe 11 oktoba 2009, caribbean book blog (blogu ya karibea ya vitabu) imeshapandisha mfululizo wa insha zinazotafakarisha na zilizosheheni takwimu kuhusu masuala yanayowakabili wachapishaji, waandishi na wasomaji waishio karibea, hasa katika kipindi hiki ambapo uchapishaji wa fasihi mahali pengi duniani unahangaika kutokana na matatizo ya kifedha na mabadiliko ya kiteknolojia.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: