Results for telephone dial translation from English to Swahili

English

Translate

telephone dial

Translate

Swahili

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

telephone

Swahili

simu

Last Update: 2015-06-06
Usage Frequency: 24
Quality:

Reference: Wikipedia

English

the telephone technician

Swahili

fundi simu ya mkono

Last Update: 2020-02-07
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

telephone agentwakala wa huduma za kifedha kwa njia ya simu

Swahili

wakala wa simu

Last Update: 2024-04-26
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

interviewer: she told you what happened on the telephone?

Swahili

mwandishi: je, alikueleza yale yaliyotokea kwenye simu?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

i don't have a dial

Swahili

sina piga

Last Update: 2023-09-27
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

6.30 am: "neither the telephone nor the electricity is working.

Swahili

12.30 asubuhi: si simu ya ndani wala ya umeme vinavyofanya kazi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

English

there has been no news of him except for two telephone calls from an anonymous place.

Swahili

kumekuwa hakuna taarifa zake isipokuwa kwa simu mbili zilizopigwa kutoka mahali kusikofahamika.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

seating in the car with reflexive silence i asked them to let me make a telephone call to my family.

Swahili

nikiwa nimekaa huku nikitafakari kimya kimya, niliwaomba waniruhusu niongee na familia yangu.

Last Update: 2023-07-12
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

i thought of taking a much dreaded along walk to the car and also the possibility of paying partially by a telephone credit transfer.

Swahili

nikafikiri kutembea mwendo unaotisha kuelekea kwenye gari na pia uwezekano wa kuwalipa kidogo kidogo kwa kutumia huduma ya kuhamisha salio kwa simu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

he was detained by the police in cairo for another seven hours for interrogation before he was permitted to telephone his community of friars.

Swahili

alishikiliwa na polisi wa kairo kwa muda wa saa saba kabla hajaruhusiwa kupiga simu kwenye nyumba ya watawa wenzake.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

the collapse of telephone service and, in some cases the buildings that housed banks and remittance offices, had temporarily cut off that money.

Swahili

kuanguka kwa mfumo wa huduma za simu, na katika kesi nyingine majengo yalikuwa na ofisi za benki au huduma za kutuma pesa, kulikata njia ya pesa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

the primary national strategy for covid-19 infection is containment, with patients who are at high risk managed via the telephone help system nhs111 and the phe health protection teams, but the rcgp rsc surveillance is entirely separate.

Swahili

mkakati wa kimsingi wa kitaifa wa maambukizi ya covid-19 ni kuudhibiti, huku wagonjwa walio katika hatari kubwa zaidi wakifuatiliwa kupitia mfumo wa usaidizi wa njia ya simu nhs111 timu za ulinzi wa kiafya za phe, lakini uchunguzi wa rcgp rsc ni tofauti kikamilifu.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

guide to interviews between researcher and students first question: how does a hisbati teacher use ict in the classroom? a) he used telephone for communication topics b) he spent hours in teaching hours and minutes c) the teacher used the phone to write on the board d) he used the phone on the topic of paithagoras e) he used kalibring you to divide questions f) he used a phone for communication g) he used the phone to multiply h) the mathematics teacher used the phone to search for mathematical answers i) bring us issues

Swahili

mwongozo wa mahojiano baina ya mtafiti na wanafunzi swali la kwanza: mwalimu wko wa hisbati antumia vipi tehama darasani? a) alitumia simu kwa ajili ya mada ya mawasiliano b) alitumia saa katika kufundisha saa na dakika c) mwalimu alitumia simu kuandikia ubaoni d) alitumia simu katika mada ya paithagoras e) alitumia kalikuleta kugawanya maswali f) alitumia simu kwa ajili ya mawasiliano g) alitumia simu kuzidisha h) mwalimu wa hisabati alitumia simu kutafuta majibu ya hisabati i) katuletea maswal

Last Update: 2022-10-21
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
8,884,439,731 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK