From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
in particular, its rate of spread, both temporal and geographical.
hasa, kiwango cha kuenea kwake, kiwakati pamoja na kijiografia.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
ye look for the temporal goods of this world; but allah looketh to the hereafter: and allah is exalted in might, wise.
mnataka vitu vya dunia, na mwenyezi mungu anataka akhera. na mwenyezi mungu ni mtukufu mwenye nguvu mwenye hikima.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
major clinical symptoms: chest radiography and temporal progression of clinical symptoms should be considered together with the other issues for the prediction of outcomes and complications of covid-19.
dalili kuu za kimatibabu: upimaji wa kifua na maendeleo ya muda ya dalili za kimatibabu zinapaswa kuzingatiwa pamoja na masuala mengine kwa ajili ya utabiri wa matokeo na matatizo ya covid-19.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
while we look not at the things which are seen, but at the things which are not seen: for the things which are seen are temporal; but the things which are not seen are eternal.
hivyo tunatazamia kwa makini si vitu vinavyoonekana, bali visivyoonekana. maana vinavyoonekana ni vya muda tu; lakini vile visivyoonekana ni vya milele.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
at the same time and separately, the rcgp rsc’s surveillance has been extended to monitor the temporal and geographical distribution of covid-19 infection in the community as well as assess the effectiveness of the containment strategy.
wakati huo huo, uchunguzi wa rcgp rsc umeendelea kutumika kivyake ili kufuatilia kusambaa kimuda na kijiografia kwa maambukizi ya covid-19 katika jamii pamoja na kutathmini ufanisi wa mkakati wa udhibiti.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
the aim of this study is to identify whether there is undetected community transmission of covid-19, estimate population susceptibility, and monitor the temporal and geographical distribution of covid-19 infection in the community.
lengo la utafiti huu ni kutambua iwapo kuna maambukizi ya jumuiya ambayo hayajagunduliwa ya covid-19, makadirio ya watu kuwepo hatarini na kufuatilia kusambaa kwa covid-19 kiwakati na kieneo katika jamii.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality: