From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
thanks you allah for all the blessing, oh allah forgive all our sins, give us all that is good and keep us away from all that is bad
thanks you allah for all the blessing, oh allah forgive all our sins,give us all that is good and keep us away from all that is bad
Last Update: 2020-07-10
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
soon shall these wicked ones meet with humiliation and severe chastigement from allah for all their evil plotting.
itawafikia hao walio kosa udhalili na adhabu kali kutoka kwa mwenyezi mungu kwa sababu ya vitimbi walivyo kuwa wakivifanya.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
surely there was a good example for you in the messenger of allah, for all those who look forward to allah and the last day and remember allah much.
hakika nyinyi mnayo ruwaza njema kwa mtume wa mwenyezi mungu kwa anaye mtaraji mwenyezi mungu na siku ya mwisho, na akamkumbuka mwenyezi mungu sana.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
so eat out of the lawful and good sustenance that allah has bestowed upon you, and thank allah for his bounty, if it is him that you serve.
basi kuleni katika vile alivyo kupeni mwenyezi mungu, vilivyo halali na vizuri. na shukuruni neema za mwenyezi mungu, ikiwa kweli mnamuabudu yeye.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
and remember him (by invoking allah for all good, etc.) as he has guided you, and verily, you were, before, of those who were astray.
na mkumbukeni kama alivyo kuongoeni, ijapo kuwa zamani mlikuwa miongoni mwa walio potea.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
and allah turned back the unbelievers for (all) their fury: no advantage did they gain; and enough is allah for the believers in their fight.
na mwenyezi mungu aliwarudisha nyuma makafiri juu ya ghadhabu yao; hawakupata kheri yoyote. na mwenyezi mungu amewatosheleza waumini katika vita.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
indeed the muslim men and muslim women, and the believing men and the believing women, and the men who obey and the women who obey, and the truthful men and the truthful women, and the patient men and the patient women, and the humble men and the humble women, and charitable men and the charitable women, and the fasting men and the fasting women, and the men who guard their chastity and the women who guard their chastity, and the men who profusely remember allah and the women who profusely remember allah – for all of them, allah has kept prepared forgiveness and an immense reward.
hakika waislamu wanaume na waislamu wanawake, na waumini wanaume na waumini wanawake, na wat'iifu wanaume na wat'iifu wanawake, na wasemao kweli wanaume na wanawake, na wanao subiri wanaume na wanawake, na wanyenyekevu wanaume na wanawake, na watoao sadaka wanaume na wanawake, na wanao funga wanaume na wanawake, na wanao jihifadhi tupu zao wanaume na wanawake, na wanao mdhukuru mwenyezi mungu kwa wingi wanaume na wanawake, mwenyezi mungu amewaandalia msamaha na ujira mkubwa.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.