From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
a court date is yet to be assigned - 100 days after his arrest.
tarehe ya mahakama bado haijawekwa - siku 100 baada ya kukamatwa kwake.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
god gave them their reward in this world and the best reward of the life to come.
basi mwenyezi mungu akawapa malipo ya duniani na bora ya malipo ya akhera.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
we made him the chosen one here in the world, and one of the best in the world to come,
na kwa yakini sisi tulimteuwa yeye katika dunia; na hakika yeye katika akhera atakuwa miongoni mwa watu wema.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
indeed, the best is the exhortation with which allah exhorts you.
hakika haya anayo kuwaidhini mwenyezi mungu ni mazuri sana.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
but whether his blogging has anything to do with inciting religious violence and hatred is yet to be proven.
lakini kama kweli kublogu kwake kunachangia lolote katika vurugu za kidini na chuki bado haujadhibitishwa.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
however, what intermediate host helped the virus cross the species barrier to infect humans remains unknown, and the transmission route is yet to be elucidated.
hata hivyo, mbebaji wa kati aliyesaidia virusi hivi kuhamia kwa binadamu kutoka kwa kizuizi cha aina hiyo ya mnyama bado hajulikani na njia ya usambazaji wake bado haijapambanuliwa.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
all these are the bounties of the worldly life but in the life to come god has the best place for people to dwell.
hayo ni starehe ya maisha ya duniani; na kwa mwenyezi mungu ndio kwenye marejeo mema.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
when jesus prayed, "lord, send us a table full of food from heaven so that it will make a feast for us and for those who are yet to come in this world and an evidence from you.
akasema isa bin maryamu: ewe mwenyezi mungu, mola mlezi wetu! tuteremshia chakula kutoka mbinguni ili kiwe sikukuu kwa ajili ya wa mwanzo wetu na wa mwisho wetu, na kiwe ni ishara itokayo kwako.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
others were also incensed and government had no choice than to come out to quickly rebut her claim that nothing had been done yet to provide her family with a home."
wengine pia walikasirishwa na serikali haikuwa na jingine la kufanya isipokuwa kujitokeza haraka na kukana madai yake kuwa hakuna lolote lililofanywa ili kuipatia familia yake nyumba”
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
"sarawak river showed yesterday its might when it burst it banks and water spilled into kuching waterfront.and the floods descrides by kuchingites as the worst flood in 20 years, caused massive trafic jam, halted business and caused panic among some who anticipated that worst was yet to come.
"mto sarawak jana ulionyesha nguvu zake wakati ulipopasua kingo zake na kumiminikia kwenye ufukwe wa kuching. na wakazi wa kuching wanaeleza kwamba mafuriko haya ni mabaya zaidi katika miaka 20, yalizua foleni kubwa za magari, yalisitisha biashara na kuwajaza hofu wale waliotegemea kwamba maafa zaidi yangelitokea.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
allah has graced those who wage jihad with their possessions and their persons by a degree over those who sit back; yet to each allah has promised the best reward, and allah has graced those who wage jihad over those who sit back with a great reward:
mwenyezi mungu amewatukuza cheo wale wanao pigana kwa mali yao na nafsi zao kuliko wale wanao kaa tu. ingawa mwenyezi mungu amewaahidi wote mashukio mema, lakini mwenyezi mungu amewafadhili wanao pigana kwa ujira mkubwa kuliko wanao kaa tu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.