From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
the election director
tume ya taifa ya uchaguzi
Last Update: 2019-05-31
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
there are some video news clips about the election here.
kuna filamu za video zinazohuzu uchaguzi hapa.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
he will avoid the unnecessary trouble related to the election campaign.
pia ataepuka matatizo yasiyo ya lazima yanayohusiana na kampeni ya uchaguzi .
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
@the_blacklisted: shafik and morsy won and lost the election.
@the_blacklisted: shafik na morsy wameshinda na kushindwa uchaguzi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
the next few weeks are crucial whether the election would go ahead as planned.
wiki chache zijazo ni za muhimu kama uchaguzi utafanyika kama ilivyopangwa.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
iran: has blogging become less popular since the election? · global voices
irani: je blogu zimepoteza umaarufu tangu uchaguzi
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
even so then at this present time also there is a remnant according to the election of grace.
basi, ndivyo ilivyo pia wakati huu wa sasa: ipo idadi ya waliobaki ambao mungu aliwateua kwa sababu ya neema yake.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
the opposition rejected the results and international observers said the election fell short of international standards.
upinzani uliyakataa matokeo hayo na waangalizi wa kimataifa walisema uchaguzi huo haukukidhi wiwango vya kimataifa.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
"the elections are upon us.
“uchaguzi umewadia.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
at the french news site france 24, a few commenters from congo have expressed their opinions on the election.
katika kituocha habari cha ufaransa cha france 24, watoa maoni wachache kutoka kongo wametoa maoni yao kuhusu uchaguzi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
protesters sitting outside the election hall. image by flickr user inmediahk (cc by-nc).
waandamanaji wakiwa wameketi nje ya ukumbi wa uchaguzi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
some sadcc members have qualified their endorsements by arguing that the election was free "but not necessarily fair."
baadhi ya wnaachama wa sadc wamethibitisha kuyaunga mkono matokeo hayo kwa kudai kuwa uchaguzi ulikuwa huru "lakini si lazima uwe wa haki."
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
i must confess i did not expect the margin of victory that appears to be emerging from the election results as currently being announced.
lazima nikiri kuwa sikutegemea ushindi unaoanza kudhihirika kutokana na matokeo ya upigaji kura ambayo yanatangazwa hivi sasa.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
al jazeera's azad essa (@azadessa) questioned the african union's assessment of the election:
azad essa wa al jazeera(@azadessa) alihoji tathmini ya umoja wa afrika kwa uchaguzi huo:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
for a short time during the election, the iranian government blocked access to facebook, youtube, twitter and several other websites.
kwa muda mfupi wakati wa uchaguzi, serikali ya irani ilizuia upatikanaji wa facebook, youtube, twita na tovuti nyingine kadhaa.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
the election or ge13 as it has become known, i suspect, will be a political milestone for the manifestation of malaysian unity all over the world.
uchaguzi au ge13 kama unavyojulikana sasa, ninahisi, itakuwa ni hatua ya kisiasa kwa ajili ya udhihirisho wa umoja wa wa-malaysia duniani kote.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
eleven iranian bloggers and media professionals representing different parts of the political spectrum have answered a questionnaire about the changing dynamics of iranian citizen media since the election.
wanablog wa irani kumi na moja na wandishi wa habari wanaowakilisha sehemu tofauti za misimamo ya kisiasa wamejibu dodoso kuhusu mabadiliko uanahabari wa kiraia nchini irani tangu uchaguzi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
as the election has come closer, opinion polls have shown growing dissatisfaction with jonathan’s government and buhari has emerged as a possible winner of the election.
kadiri siku za kupiga kura zilivyokaribia, kura za maoni zimeonesha ongezeko la wananchi waliokosa imani na sserikali ya rais goodluck jonathan na hivyo mwanajeshi mstaafu muhamudu buhari ameonekana kuwa anaweza kushinda kwenye uchaguzi huo.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
submit a statement of the results of the elections to the regional secretariat
kuwasilisha taarifa ya matokeo ya uchaguzi kwa sekretarieti ya mkoa
Last Update: 2024-06-29
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
also, martha evelyn batres (@tita_batres) uploaded images that showed the large number of people that participated in the election:
vilevile, martha evelyn batres (@tita_batres) alipandisha picha zilizoonyesha idadi kubwa ya watu wakishiriki uchaguzi huo:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: