Results for the internet? translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

the internet

Swahili

intaneti

Last Update: 2013-01-15
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

free access to the internet

Swahili

uhuru wa upatikanaji wa huduma ya intaneti

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

that is the beauty of the internet.

Swahili

huo ndio uzuri wa mtandao wa intaneti.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

do you care about free speech on the internet?

Swahili

je, unajali uhuru wa maoni kwenye mtandao?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

that's probably what the internet is in bahrain.

Swahili

hivyo ndivyo pengine mtandao wa intaneti ulivyo nchini bahrain.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

i'm off the internet i'm going to town

Swahili

kwenye natoka

Last Update: 2023-09-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

comments in the internet were quite mixed at that time.

Swahili

maoni yaliyotumwa kwenye mtandao wa intaneti yalikuwa tofautitofauti kwa wakati ule.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

as a result, citizens read news mostly from the internet.

Swahili

hii inapelekea raia kutegemea kupata habari kupitia mtandao wa intaneti.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

i could use the internet occasionally, but it was very difficult.

Swahili

ningeliweza kutumia mtandao wa intaneti, lakini ilikuwa ni vigumu mno.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

5.15pm: i saw the result of my polling unit on the internet.

Swahili

saa 11.15 jioni: niliona matokeo ya kituo changu cha kupigia kura kwenye intaneti.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

we use the internet not to escape from our humanity, but to assert it.

Swahili

tunatumia wavuti si kwa ajili ya kutoroka kutoka katika ubinadamu wetu, bali kwa ajili ya kuusisitiza.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

the campaign became quite popular through word of mouth and the internet.

Swahili

kampeni hiyo ilifikia umaarufu kwa kupitia ujumbe wa mdomo pamoja na intaneti.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

(but i bet the internet link is off at google's kampala office!)

Swahili

(lakini kiungo cha intanenti kimetowekakatika ofisi ya google ya kampeni!)

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

the real vuvuzela war, we are told, is not on the internet but in the netherlands:

Swahili

vita halisi ya vuvuzela, tunaambiwa haiko kwenye mtandao bali nchini uholanzi:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

the revelations also give ammunition to governments seeking to tighten restrictions on media and the internet.

Swahili

kufahamika kwa vitendo hivyo kadhalika inazilipua serikali zinazotafuta kubana zaidi vizuizi vya uandishi pamoja na mtandao wa intaneti.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

as of 2009, it is estimated that over 65 percent of malaysian homes were connected to the internet.

Swahili

mpaka kufika mwaka 2009, zaidi ya asilimia 65 ya nyumba nchini malaysia tayari zilikuwa zimeunganishwa na mtandao wa intaneti.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

the customer says he is not making a bet because he is in the woods the internet is disturbing that why has left

Swahili

mteja anasema kwa sasa hafanyi bashiri kwa sababu yupo maporini internet inasumbua ndomana ameacha

Last Update: 2023-10-11
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

some worry it will lead to even more distrust and censorship of the internet and social media in their countries.

Swahili

wengine wana mashaka gatua hiyo inaweza kusababisha hali ya kutokuaminiana na kufuatiliwa kwa mtandao wa intaneti na mitandao ya kijamii katika nchi zao.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

the internet was also blamed for the instant dissemination of the sex tapes which prodded lawmakers to craft a cybercrime bill.

Swahili

mtandao wa intaneti pia ulilaumiwa kwa kusambaza papo kwa papo kanda za hizo za ngono na hivyo watunga sheria kuamua kupitisha mswaada wa makaosa ya kimtandao.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

during these times, given the technical limitations, the immediate mainstream access to the internet is not possible.

Swahili

katika kipindi hiki, na kwa kuzingatia vikwazo vya kiufundi, haiwezekani kwa haraka kuwezesha watu kupata huduma ya intaneti wakiwa majumbani mwao.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Get a better translation with
7,782,435,396 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK