Results for the movement translation from English to Swahili

English

Translate

the movement

Translate

Swahili

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

is the movement to defend democracy itself democratic?

Swahili

je, harakati hizo za kupigania demokrasia zina demokrasia ndani yake?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

max at jewbonics noted his departure from the movement with regret.

Swahili

max kwenye jewbonics alieleza kujitoa kwake kwenye wimbi hilo kwa masikitiko.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

an article on afrik.com explains the story behind the movement .

Swahili

makala kwenye afrik.com inaelezea habari za vuguvugu hilo .

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

it does not matter if it's hassan or hussein , the movement continues.

Swahili

haijalishi kama ni hassan au hussein , lakini vuguvugu linaendelea.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

every day, new facebook accounts are being opened for and against the movement.

Swahili

kila siku, kurasa mpya za facebook zinaanzishwa kuunga mkono na kupinga harakati hizi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

in the city of tacna, the movement was strong, the city has no electric power.

Swahili

kwenye jiji la tacna, mtikisiko ulikuwa mkubwa, jiji halina umeme.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

there were reports of injured people and collapsing of houses as a result of the movement.

Swahili

kulikuwa na taarifa za watu kujeruhiwa na kuanguka kwa nyumba shauri ya mtikisiko mkubwa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

we talk to maryam al khawaja about the role sectarianism plays in bahrain and how that affects the movement.

Swahili

tunazungumza na maryam al khawaja kuhusu namna imani za kidini zinavyoathiri harakati hizo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

as an organiser of the march he responded to fears that others would leave the movement, reporting:

Swahili

kama muandalizi wa maandamano alitoa maoni kuhusu hofu kwamba wengine wangeliacha wimbi hilo, alitaarifu:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

as the movement to establish a free burma continues, let us pay homage to a man who dedicated his life to the cause.

Swahili

kama harakati ya kuanzisha burma huru zikiendelea, hebu tumuenzi mtu aliyejitolea maisha yake kwa sababu hiyo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the movement was launched on facebook as occupyghana on june 28, and by july 1 it had over 3,000 followers in support of the protest.

Swahili

harakati hizi zilianzishwa katika mtandao wa facebook kwa jina la occupyghana siku ya tarehe 28 juni, na hadi kufikia julai 1, ilikuwa na wafuatiliaji zaidi ya 3,000 waliokuwa wakiunga mkono maandamano haya.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

"the movement has grown a lot, and there's really a blossoming art scene in the city," janowitz says.

Swahili

"harakati hizi zimeshaenea kwa kiasi kikubwa, kuna michoro mingi ya kuvutia sana jijini", anasema janowitz.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

the movement has been using a facebook page to organize, and demonstrations have followed in other brazilian state capitals that are also protesting fare increases for public transportation.

Swahili

harakati hizi zimekuwa zikitumia ukurasa wa facebook kuhamasisha kiasi kwamba, maandamano mengine yalifuata katika majiji mengine ya brazil ambayo pia yanapinga ongezeko la nauli kwa usafiri wa umma.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

beijing mouthpiece global times ran an opinion piece on occupy central, which began on september 28, accusing the movement of ruining hong kong's image.

Swahili

gazeti linaloisemea beijing , global times lilikuwa nasehemu ya maoni kuhusu maandamano hayo ya occupy central, yaliyoanza septemba 28, likilituhumu vuguvugu hilo kwa kuchafua sura ya hong kong.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

evgenya chirikova’s bid for mayor in the moscow suburb of khimki was the only race where the movement came together in a meaningful way, marshaling significant donations and campaign volunteers.

Swahili

dhamira ya evgenya chirikova kuwa meya katika kitongoji cha khimki jijini moscow ndiyo ilionyesha ushindani ambapo wapinzani waliungana pamoja, wakipata michango ya fedha na watu wa kujitolea kufanya kampeni.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the movement was formed in may 2011 from a number of foreign-based uzbek opposition movements and rights organizations and stated its goal as being the downfall of president islam karimov's regime.

Swahili

harakati hizi zilianzishwa mnamo mei 2011 na vikundi mbalimbali vilivyo nje ya uzbek vyenye msimamo wa kuipinga serikali kwa lengo la kuhakikisha kuwa utawala wa rais islam karimov unaangushwa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

on thursday, june 6, in the center of skopje, the movement against police brutality will mark two years since the murder of martin neshkovski, which sparked massive grassroots protests in macedonia in the summer of 2011.

Swahili

siku ya alhamisi, juni 6, katika kituo cha skopje, vuguvugu la kupinga ukatili wa polisi litatimiza miaka miwili baada ya mauaji ya martin neshkovski, ambayo yalisababisha maandamano makubwa katika ngazi za chini kabisa nchini macedonia katika majira ya joto ya 2011.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

after the collective publication #sobreontem (about yesterday) in support of the movement that started the protests this past june in são paulo, brazilian artists are now coming together for a new cause.

Swahili

baada ya uchapishaji wa pamoja #sobreontem (kuhusu jana) katika kusaidia harakati ambayo ilianzishamaandamano haya juni iliyopita mjini são paulo, wasanii wa brazil sasa wanajiunga pamoja kwa sababu mpya.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

clearly, after 20 in power, something must went seriously wrong within the movement for multiparty democracy (mmd) – the party that brought an end to unip’s 27 year rule.

Swahili

ni wazi, baada ya miaka 20 madarakani, lazima kuna jambo lilikwenda vibaya ndani ya chama cha mmd (movement for multiparty democracy –chama ambacho kiliung’oa utawala wa unip uliodumu kwa miaka 27.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the movement dubbed it "operation touche pas à ma tunise" ("get your hands off my tunisia") which is part of the broader "operation tunisia back".

Swahili

vuguvugu hilo lilipewa jina la utani la (“achana na tunisia yangu”) ambayo ni sehemu ya kampeni kuu iitwayo “operesheni rejeza tunisia”.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,646,778,014 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK