Results for the struggle is real translation from English to Swahili

English

Translate

the struggle is real

Translate

Swahili

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

the struggle continues...

Swahili

harakati zinaendelea....

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the struggle between them

Swahili

muvi zakutombana

Last Update: 2024-09-09
Usage Frequency: 1
Quality:

English

“the role of women in the struggle of the native lumad is important.

Swahili

“jukumu la wanawake katika harakati za kuilinda jamii halisi ya lumad ni la muhimu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

this, and that allah is the weakener of the struggle of the unbelievers.

Swahili

ndio hivyo! na hakika mwenyezi mungu ni mwenye kudhoofisha vitimbi vya makafiri.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

they both ran to the door and, in the struggle, she tore his shirt at the back.

Swahili

na wote wawili wakakimbilia mlangoni, na mwanamke akairarua kanzu yake yusuf kwa nyuma.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

follow our in-depth coverage: the struggle to #stopebola in west africa

Swahili

tunaamini kuwa hali hii haileti usawa na wala siyo sahihi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

these prominent activists join us on this episode of gv face from the freedom of their homes, but their struggle is far from over.

Swahili

wanaharakati hawa maarufu wanaungana nasi kwenye toleo la wiki hii la gv face wakiwa huru, lakini mapambano yao hayana dalili ya kumalizika.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

no victory is real unless it is from god, the majestic and all-wise.

Swahili

na msaada hautoki isipo kuwa kwa mwenyezi mungu, aliye tukuka, mwenye nguvu na mwenye hikima.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the standard method of testing is real-time reverse transcription polymerase chain reaction (rrt-pcr).

Swahili

mbinu ya kawaida ya kupima ni katika maabara ya utafiti ili kuchunguza upatikanaji wa jeni (rrt-pcr).

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

confusing things further, it appears there is even a third fake release that has been sent to apologize for the confusion, leaving many people wondering what is real and what is not.

Swahili

likichanganya mambo zaidi, inaonekana kuna hata tamko la tatu bandia lililotumwa kutaka radhi kwa mchanganyiko huo, likiacha watu wakishangaa nini ni kweli na nini kisicho.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

according to the world bank, the struggle of the malagasy economy has already forced the government to slash $200 million usd for the public service from their national budget.

Swahili

kwa mujibu wa benki ya dunia, hali ngumu ya uchumi wa madagaska tayari umeilazimisha serikali kupunguza kiasi cha dola za marekani milioni 200 kutoka katika bajeti ya kitaifa ya huduma za jamii.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and thus the evil of his deed was made fairseeming to firon, and he was turned away from the way; and the struggle of firon was not (to end) in aught but destruction.

Swahili

na hivi ndivyo firauni alivyo pambiwa ubaya wa vitendo vyake, na akazuiliwa njia. na vitimbi vya firauni havikuwa ila katika kuangamia tu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

they also included discussions about the struggles, difficulties, and bitterness that chinese youth face today.

Swahili

pia walihusisha mijadala kuhusiana na juhudi, changamoto na magumu ambayo vijana wa kileo wa china wanayokabiliana nayo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

whatever the case may be, the fact is that many people in the country are worried about the deadly virus entering the country. follow our in-depth coverage: the struggle to #stopebola in west africa

Swahili

vyovyote iwavyo, ukweli ni kwamba watu wengi nchini wana wasiwasi kuhusiana na uwezekano wa virusi hivyo kuingia nchini humo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

i know very well that they've suffered budget cuts by governments that still think austerity is the road to recovery from the crash of 2008. follow our in-depth coverage: the struggle to #stopebola in west africa

Swahili

ninajua vizuri sana kwamba wanahangaika na kukosekana kwa mafungu ya fedha kutoka serikalini na hivuo vinafikiri nidhamu ya matumizi ni njia pekee ya kukabiliana na mdodoro wa mwaka 2008.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

as another woman selvi said, “it is only after being part of the struggle that we realized that trying to establish one’s right to live as one wishes, pursuing traditional livelihoods and also questioning activities that are being implemented without consulting the people is equivalent to crime and sedition.”

Swahili

kama alivyosema mwanamke mmoja aitwaye selvi, “hii ni mara tu baada ya kuwa miongoni mwa sehemu ya kujituma ndipo tulipogundua kuwa kujaribu kuweka misingi ya haki ya mtu ya kuishi kama mtu anavyotegemea, akiendeleza utamaduni wa kuishi kindugu na pia kuhoji mambo yanayotekelezwa bila hata ya kujadiliana na watu ni karibu sawa na kosa la jinai na uhaini”.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

in this episode we talk to alaa and maryam about their activism, the struggles they face in bahrain and egypt and the hopes that keeps them resilient about their country's future.

Swahili

katika toleo la wiki hii tunazungumza na allan a maryam kuhusiana na harakati zao, mapambano wanayokabiliana nchini bahrain na misri pamoja na matumaini yao yanayowafanya wawe na moyo imara kuhusiana na mustakabali wa nchi yao.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,642,295,287 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK