From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
and the waters receded, and the event was concluded, and it settled on judi, and it was proclaimed: “away with the wicked people.”
basi maji yakadidimia chini, na amri ikapitishwa, na (jahazi) likasimama juu ya (mlima) wa al juudiy. na ikasemwa: wapotelee mbali watu walio dhulumu!
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and the waters subsided, the affair was accomplished, and the ark settled on el-judi, and it was said: 'away with the people of the evildoers!'
basi maji yakadidimia chini, na amri ikapitishwa, na (jahazi) likasimama juu ya (mlima) wa al juudiy. na ikasemwa: wapotelee mbali watu walio dhulumu!
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
on my way out, i saw our dresser moving, the kitchen cabinets shake and spit out all sorts of cans, and the house moving as if it was made out of jello.
nilipokuwa nataka kutoka ndani, mara niliona meza ya kujipodolea ikitikisika, makabati ya jikoni yakitetemeka huku vitu vilivyo ndani vikidondoka chini, wakati huohuo nyumba ilikuwa ikichezacheza utadhani imetengenezwa kwa kitu laini mfano wa mafuta ya mgando.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
but it was the young people who moved me most: girls dressed in purple and white reciting poems in kinyarwandan about the need to take courage for the future in spite of the sorrow and grief, and a youth choir with 'never again' emblazoned on their t-shirts and headbands, singing with emotion about the importance of never forgetting the genocide.
lakini ilikuwa ni vijana ndiyo walionigusa zaidi: wasichana waliovalia mavazi ya rangi ya zambarau na nyeupe walighani mashairi kwa lugha ya kinyarwanda, hasa wakihimiza umuhimu wa kuvaa ushujaa kwa ajili ya siku za baadaye licha ya huzuni kubw, na pia kwaya ya vijana waliovalia tii-sheti zenye maneno 'hali hii isijirudie tena kamwe', maneno hayo pia yalikuwa kwenye vitambaa walivyojifunga kichwani, huku wakiimba kwa hisia kubwa juu ya umuhimu wa kutosahau kamwe mauaji ya kimbari.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.