From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
default gnome theme
mlazo wa kwanza wa gnome
Last Update: 2014-08-15
Usage Frequency: 3
Quality:
the tmsummit's theme for 2014.
maudhui ya mkutano wa tm 2014.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
what is the meaning of a theme
indhari
Last Update: 2020-08-22
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
the theme of the video is self-explanatory.
maudhui ya video hii yanajieleza yenyewe.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
we begin our partnership with the theme “migrant journeys.”
tunaanza ushirikiano wetu kwa kuanza na mada ya “safari za wahamiaji”.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
a common theme is an expression of anger and confrontation with the police.
wazo kuu linalowaunganisha ni kuonyesha hasira na mapambano dhidi ya polisi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
the theme of the conference was social media – from the margins to the mainstream.
maudhui ya mkutano huo yalikuwa mitandao ya kijamii -kutoka pembezoni kwenda kwenda kwenye vyombo vikuu vy habari.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
the common theme among many of these stories is a search for better economic opportunities.
simulizi nyingi zina maudhui ya kutafuta fursa bora za kiuchumi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
when thou seest men engaged in vain discourse about our signs, turn away from them unless they turn to a different theme.
na unapo waona wanao ziingilia aya zetu, basi jitenge nao mpaka waingilie mazungumzo mengine.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
@timkalyegira: even google is into uganda@50 hype, with a uganda theme on its homepage.
@timkalyegira: hata google inashiriki matangazo ya sherehe za miaka 50, kwa kuwa na maonjo ya ki-ganda katika ukurasa wake wa kufungulia.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
the emergence of sars-cov-2 follows the general theme by which sars-cov and mers-cov arose.
kuibuka kwa sars-cov-2 kunafuata mtindo wa kijumla ambapo virusi vya sars-cov na mers-cov viliibuka.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
particularly, we highlight and discuss the common theme that parental viruses of hcovs are typically non-pathogenic in their natural reservoir hosts but become pathogenic after interspecies transmission to a new host.
hususan, tunaangazia na kujadili mada ya kawaida kwamba virusi vizalishaji vya hcov kawaida havina uwezo wa kusababisha magonjwa ndani ya wabebaji wake asilia lakini huwa na uwezo wa kusababisha ugonjwa baada ya kusambazwa baina ya aina ya wanyama hadi kwa mbebaji mpya.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
the 2015 summit included four days of internal meetings, and culminated in a public conference at the cebu provincial capitol on the theme of the open internet: local perspectives, global rights.
mkutano wa mwaka 2015 ulihusisha siku nne za mikutano ya ndani, na ulihitimishwa kwa kongamano la wazi lililofanyika katika jengo la provincial capitol la mamlaka ya jiji la cebu lililojadili dhana kuu ya uhuru wa mtandao wa intaneti.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
slumdog millionaire is nowhere near the a-list of bollywood movies given it’s simple tried-and-tested theme of love over money.
slumdog millionaire haiwezi kuzikaribia filamu za orodha-a za bollywood ukichukulia uzoefu wake katika maudhui ya mapenzi yanayoshinda fedha.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
already has he sent you word in the book, that when ye hear the signs of allah held in defiance and ridicule, ye are not to sit with them unless they turn to a different theme: if ye did, ye would be like them.
naye amekwisha kuteremshieni katika kitabu hiki ya kwamba mnapo sikia aya za mwenyezi mungu zinakanushwa na zinafanyiwa kejeli, basi msikae pamoja nao, mpaka waingie katika mazungumzo mengine. hivyo mtakuwa nanyi mfano wao hao.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
the third challenge window is open. the challenge will include three to five themes. the dli innovation challenge team will develop these themes through consultation with relevant tanzanian stakeholders.
window ya challenge ya tatu ni wazi. changamoto itajumuisha mandhari tatu hadi tano. timu ya innovation challenge timu itaendeleza mandhari hizi kwa kushauriana na wadau wa tanzania.
Last Update: 2017-12-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: