From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
and will not be absent thence.
na hawatoacha kuwamo humo.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
so he escaped from thence, fearing, vigilant.
basi akatoka, naye ana khofu, akiangalia huku na huku.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and he laid his hands on them, and departed thence.
basi, akawawekea mikono, kisha akaondoka mahali hapo.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
and thence they shall not be allowed to be absent.
na hawatoacha kuwamo humo.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
so he went forth from thence fearing, looking abcut.
basi akatoka, naye ana khofu, akiangalia huku na huku.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
now after two days he departed thence, and went into galilee.
baada ya siku mbili yesu aliondoka hapo, akaenda galilaya.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
and when he was departed thence, he went into their synagogue:
yesu alitoka hapo, akaenda katika sunagogi lao.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
toil cometh not unto them there, nor will they be expelled from thence.
humo hayatawagusa machofu, wala hawatatolewa humo.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
therefor this day they come not forth from thence, nor can they make amends.
basi leo hawatatolewa humo wala hao hawatakubaliwa udhuru wao.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and whatsoever house ye enter into, there abide, and thence depart.
nyumba yoyote mtakayoingia na kukaribishwa, kaeni humo mpaka mtakapoondoka katika kijiji hicho.
Last Update: 2024-02-19
Usage Frequency: 2
Quality:
when they go forth from thence, then we will enter (not till then).
wakitoka humo hapo tutaingia.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and it came to pass, that when jesus had finished these parables, he departed thence.
yesu alipomaliza kusema mifano hiyo alitoka mahali hapo,
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
and he went out from thence, and came into his own country; and his disciples follow him.
yesu aliondoka hapo akaenda katika kijiji chake, akifuatwa na wanafunzi wake.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
and verily they had well-nigh unsettled thee from the land that they might drive thee forth from thence.
na walitaka kukukera ili uitoke nchi.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and the guilty behold the fire and know that they are about to fall therein, and they find no way of escape thence.
na wakhalifu watauona moto na watajua ya kwamba wao lazima wataingia humo; wala hawatapata pa kuuepuka.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
so they, being sent forth by the holy ghost, departed unto seleucia; and from thence they sailed to cyprus.
basi, barnaba na saulo walipokwisha tumwa na roho mtakatifu, walishuka hadi seleukia, na kutoka huko walipanda meli hadi kisiwa cha kupro.
Last Update: 2023-07-03
Usage Frequency: 2
Quality:
and he it is who hath constrained the sea to be of service that ye eat fresh meat from thence, and bring forth from thence ornaments which ye wear.
yeye ndiye aliye ifanya bahari ikutumikieni, ili kutokana na humo mpate kula nyama laini, na mtoe humo mapambo mnayo yavaa.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
hence, when allah’s edict comes, judgment is made with justice, and it is thence that the falsifiers become losers.
basi ikija amri ya mwenyezi mungu huhukumiwa kwa haki, na hapo wapotofu watakhasiri.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and when he had gone a little further thence, he saw james the son of zebedee, and john his brother, who also were in the ship mending their nets.
alipokwenda mbele kidogo, aliwaona yakobo na yohane, wana wa zebedayo. nao pia walikuwa ndani ya mashua yao wakizitengeneza nyavu zao.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
whenever, in their anguish, they would go forth from thence they are driven back therein and (it is said unto them): taste the doom of burning.
kila wakitaka kutoka humo kwa sababu ya uchungu watarudishwa humo humo, na wataambiwa: onjeni adhabu ya kuungua!
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality: