From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
those who have accepted faith and practice piety.
hao ni ambao wameamini na wakawa wanamcha mungu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
if you believe and practice piety, you will have a splendid reward.
na mkiamini na mkamchamngu mtakuwa na ujira mkubwa.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
there is no god but i. so serve me, and practice the prayer for my remembrance.
hapana mungu ila mimi tu. basi niabudu mimi, na ushike sala kwa ajili ya kunikumbuka mimi.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and attend to your prayers, and practice regular charity, and kneel with those who kneel.
na shikeni sala, na toeni zaka, na inameni pamoja na wanao inama.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
those who adhere to the scripture, and practice prayer—we will not waste the reward of the reformers.
na wale wanao kishikilia kitabu, na wakashika sala - hakika sisi hatupotezi ujira wa watendao mema.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
i will specify it for those who act righteously and practice regular charity, and those who believe in our signs.”
lakini nitawaandikia khasa wanao mchamngu, na wanao toa zaka, na wale ambao wanaziamini ishara zetu,
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
rcgp rsc research officers and practice liaison staff will manage practices to achieve a total national sample of 200-300 swabs per week.
maafisa wa utafiti wa rcgp rsc na wafanyakazi washirikishi wa huduma watadhibiti huduma ili kufikia kuchukua jumla ya sampuli 200-300 kila wiki kitaifa.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
"what are their policies and practices?"
"sera na utendaji kazi wao ni upi?"
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
the only people to attend god’s places of worship are those who believe in god and the last day, and pray regularly, and practice regular charity, and fear none but god.
hakika wanao amirisha misikiti ya mwenyezi mungu ni wale wanao muamini mwenyezi mungu, na siku ya mwisho, na wakashika sala, na wakatoa zaka, na wala hawamchi ila mwenyezi mungu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
although based in azerbaijan, the blog notes the same value system throughout the entire caucasus and speaks out about such patriarchal concepts and practices.
japokuwa ipo nchini azerbaijan, blogu hiyo inabaini mfumo unaofanana wa maadili katika eneo lote la caucasus na inaongelea kuhusu dhana na taratibu za namna hiyo za mfumo dume.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
like other media and human rights groups around the world, we fear that this case represents an attempt by the moroccan government to silence those who are critical of its policies and practices.
kama ilivyo kwa vyombo vingine vya habari na makundi ya haki za binadamu ulimwenguni, tuna hofu kuwa mashitaka haya ni jaribio la serikali ya morocco la kuwanyamazisha wote wanaojaribu kuhoji kuhusu sera na utendaji wa serikali.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
aam mina on the other hand wrote a post, making fun of those who believe in conspiracy theories and were expecting the germans to rule in favour of the murderer: i don't know why, since the announcement of the verdict, i haven't heard any of those who kept on talking about the germans and how racist they are, and that they hate arabs and muslims. they also claimed that the court will rule in favour of the murderer and he will be imprisoned for a year or two only, and that our only hope is to declare sacred war against the secular, rotten, zionist, and infidel west.
aam mina kwa upande mwingine aliandika makala, ya kuwakebehi wale wanaoamini katika nadharia za njama na waliokuwa wakitarajia wajerumani kufanya uamuzi utakaompendelea muuaji:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: