Results for they also found that individual d... translation from English to Swahili

English

Translate

they also found that individual difference

Translate

Swahili

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

they will reply, "yes, we have also found it to be true."

Swahili

watasema: ndiyo!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

they also made a call:

Swahili

pia walitoa wito:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

they also offer mortgages.

Swahili

nao pia wanatoa mikopo ya nyumba.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

they also learned that he had since appealed his sentence.

Swahili

familia yake pia walikuja kufahamu baadaye kwamba kijana huyo alikuwa amekata rufaa dhidi ya hukumu hiyo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and when they opened their baggage, they found that their goods were returned to them.

Swahili

na walipo fungua mizigo yao wakakuta bidhaa zao wamerudishiwa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and when they opened their things they found that their goods had been given back to them.

Swahili

na walipo fungua mizigo yao wakakuta bidhaa zao wamerudishiwa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

have you, too, found that what your lord promised you is true?"

Swahili

je, na nyinyi pia mmekuta aliyo kuahidini mola wenu mlezi kuwa ni kweli?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

they also collected signatures at the besada.

Swahili

pia walikusanya saini besada.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

there are not found that returned to give glory to god, save this stranger.

Swahili

hakupatikana mwingine aliyerudi kumtukuza mungu ila tu huyu mgeni?"

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

researchers have found that passengers in window seats have less risk of contact with sick people.

Swahili

watafiti wamepata kwamba abiria kwenye viti vya dirisha wana hatari ya chini ya kutangamana na watu wagonjwa.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

they also which saw it told them by what means he that was possessed of the devils was healed.

Swahili

wale watu walioshuhudia tukio hilo waliwaeleza hao jinsi yule mtu alivyoponywa.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

English

ace2 mrna expression is also found in the cerebral cortex, striatum, hypothalamus, and brainstem.

Swahili

onyesho la ace2 mrna linapatikana pia katika utando wa bongo, striatum, hypothalamus, na mfumo wa ubongo.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

then they also which are fallen asleep in christ are perished.

Swahili

zaidi ya hayo, wale wote waliokufa wakiwa wameungana na kristo wamepotea kabisa.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

English

they also suggest that people with suspected or confirmed covid-19 should have continuous electronic fetal monitoring.

Swahili

pia wanapendekeza kwamba watu wanaoshukiwa au wamedhibitishwa kuwa na ugonjwa wa covid-19 wanapaswa kuendelea na uchunguzi wa kijusi kielekroniki.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

language researchers have also found that children who speak more than one language exhibit better academic performance than children who know only one language, regardless of what that language is.

Swahili

watafiti wa lugha wamegundua kuwa watoto wanaozungumza lugha zaidi ya moja wanafanya vizuri zaidi kitaaluma kuliko watoto wanaofahamu lugha moja tu, bila kujali ni lugha gani.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

they also outline controls necessary to address those risks, and contingency plans for situations that may arise as a result of outbreaks.

Swahili

zinaorodhesha pia udhibiti zinazofaa kukabiliana na hatari hizo, na mipango ya dharura kwa hali zinazoweza kutokea kufuatia mkurupuko.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

it has also been found that people, after having recalled or contemplated unethical acts, tend to wash hands more often than others, and tend to value hand washing equipment more.

Swahili

imegunduliwa pia kuwa watu, baada ya kukumbuka au kutafakari matendo yasiyo na maadili, huonekana kuosha mikono zaidi kuliko wengine, na huonekana kuthamini vifaa vya kuosha mikono zaidi.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and for their sakes i sanctify myself, that they also might be sanctified through the truth.

Swahili

na kwa ajili yao mimi mwenyewe najiweka wakfu ili nao pia wafanywe wakfu katika ukweli.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

English

they also say, 'when shall this promise come to pass, if you speak truly?'

Swahili

na wanasema: ahadi hii itatokea lini, ikiwa nyinyi ni wakweli?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

they also demand a dialogue with the government to discuss their objections to the education and constitutional reforms proposed by president otto pérez molina.

Swahili

pia, wanahitaji majadiliano na serikali ili kujadili pingamizi lao kuhusiana na mabadiliko ya elimu pamoja na ya katiba yaliyopendekezwa na rais otto pérez molina.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.

Get a better translation with
8,899,366,181 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK