Results for thrives translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

malema thrives on attention, and in my opinion, he falls in the same category as lady gaga.

Swahili

malema anastawi kutokana na umaarufu, na kwa maoni yangu, anaangukia kwenye kundi moja na lady gaga.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

democracy thrives best when citizens feel empowered to pursue their daily chores without fear or threat to their lives and property.

Swahili

demokrasia hunawiri vyema wakati raia wanahisi kuwezeshwa kufanya shughuli zao za kila siku bila hofu au tishio kwa maisha wala mali zao.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

home is where children's language development thrives and grows, and where children acquire the many different speech forms that express the human experience.

Swahili

nyumba ni mahali ambapo maendeleo ya lugha za watoto huongezeka na kukua, na ndipo watoto hujifunza lugha nyingine tofauti zinazowafanya wawasiliane.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

thrive

Swahili

tukuka

Last Update: 2020-03-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
8,941,738,601 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK