From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
the tigers and the diaspora that supports them have no claim as the "sole representation" of the tamil people.
kwamba waasi na watamil wanawaunga mkono ambao wanaishi ughaibuni hawana hati miliki ya kuwa “wawakili pekee” wa watamil wote.
about 250 members of the tamil tigers were reportedly killed in the final surge of fighting in the country's 26-year-old war.
kadri ya wanachama 250 wa waasi wa chui wa kitamil waliuwawa kwenye mapambano ya mwisho ya vita vilivyodumu kwa miaka 26.
selvarasa pathmanathan, head of the ltte’s international diplomatic relations, released a statement on sunday announcing that the tigers will "silence our guns to save our people."
selvarasa pathmanathan, mkuu wa kitengo cha diplomasia cha ltte, alitoa tamko jumapili kuwa chui “tutanyamazisha bunduki zetu ili kuwanusuru watu wetu.”
tiger
tiger
Last Update: 2017-06-25
Usage Frequency: 3
Quality:
Reference: