Results for to collect more rewads watch tuto... translation from English to Swahili

English

Translate

to collect more rewads watch tutorial

Translate

Swahili

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

kindly visit our freight terminal to collect your parcel

Swahili

tafadhali tembelea terminal yetu mizigo kukusanya sehemu yako

Last Update: 2023-02-08
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

the project hopes to collect 5 million personal memories by 2015.

Swahili

mradi huu unatarajia kukusanya kumbukumbu wa watu binafsi zipatazo milioni 5 ifikapo mwaka 2015.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

i managed to collect two bottles and survived on them all these days.

Swahili

niliweza kupata chupa mbili za maji ambazo ndizo zilizonifanya nikawa hai kwa siku zote hizi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

and when the messengers are (all) appointed a time (to collect);-

Swahili

na mitume watakapo wekewa wakati wao,

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

you just send me 100 dollars i we send 1000 dollars for you i promise want to use it to collect money

Swahili

unanitumia tu dola za 100 mimi tunatuma dola za 1000 kwako ahadi nataka kuitumia kukusanya pesa

Last Update: 2022-07-31
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

in addition, modifying the existing surveillance system to collect population data in a parallel way has also been effective.

Swahili

vilevile, kubadilisha mfumo uliopo wa ujasusi ili kukusanya data ya idadi ya wati kwa njia sambamba pia kumekuwa na ufanisi.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

i worked to collect revenue and fix it, to handle incoming and outgoing calls, to monitor immigration issues.

Swahili

nilifanya kazi ya kukusanya mapato na kurekebisha ,kushughulikia simu zinqzoingiw na kutoka majukumu ya kiu tawala ,kufuatilia masuala ya uhamiaji .

Last Update: 2021-05-22
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

the laggardly bedouins will say, "when you leave to collect the spoils, let us follow you."

Swahili

walio baki nyuma watasema: mtapo kwenda kuchukua ngawira, tuacheni tukufuateni!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

English

whenever they need, they use a hose to collect water from my house and at end of the month we divide the cost of water invoice to pay.

Swahili

kila wanapoyahitaji, basi hawana budi kutumia mpira ili kupata maji kutoka nyumbani kwangu na mwisho wa mwezi basi tunagawana gharama kadiri ya ankra.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

a facebook group was created to collect links to the videos, where people could share their motivations and connect with others taking part in the challenge.

Swahili

kundi la mtandao wa facebook lilianzishwa kukusanya viungo vya video hizo zinazoingizwa, na kwenye ukurasa huo washiriki wanaweza kutuma kazi zao na kuungana na wengine wanaoshiriki zoezi hilo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

a few weeks ago we told you we started tzelect, an ushahidi-based platform that aims to collect and discuss reports from east african youth about election events.

Swahili

wiki chache zilizopita tuliwaambieni kwamba tumeanzisha tzelect, ambalo ni jukwaa lililojikita kutumia ushahidi ili kukusanya na kujadili ripoti kutoka kwa vijana wa afrika mashariki kuhusiana na matukio ya uchaguzi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

initiated in 2011, the singapore memory project aims "to collect, preserve and provide access" to singapore's history.

Swahili

ukiwa umeanzishwa mwaka wa 2011, mradi wa kumbukumbu za singapore unalenga "kukusanya, kuhifadhi na kuhakikishia upatikanaji" wa historia ya singapore.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

English

i call on the lanzhou government to collect safe drinking water and give it for free to citizens! it needs to give an accurate and direct answer! how embarrassing the continuous water pollution is to common folks.

Swahili

ninaiomba serikali ya lanzhou ikusanye maji salama ya kunywa na iyagawe bure kwa raia wake!yapaswa kutolewa jibu fasaha na la wazi!ni udhalilishaji wa namna gani tatizo la uchafuzi wa maji liendelee kwa watu walewale.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

he was ordered to go with the police, had no possibility to collect anything, and was given no explanation for his arrest... ...when rami was put on the plane, his passport was taken from him and given to the pilot who later surrendered it with rami to the police in cairo.

Swahili

aliamriwa kuondoka na polisi wale, wala hakupewa fursa ya kuchukua chochote, wala hakuelezwa kwa nini alikuwa akikamatwa ... …pale rami alipopakiwa kwenye ndege, alinyang'anywa pasi yake ya kusafiria ambayo ilikabidhiwa kwa rubani ambaye naye aliikabidhi pamoja na rami kwa polisi kule jiji la kairo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

"when justice is spared, we collect coins", says tagline of koin keadilan, coins for justice, a new website dedicated to collect coin donation to pay prita's fine.

Swahili

“pale haki inapokiukwa, tunakusanya sarafu”, anasema kauli mbiu ya koin keadilan, sarafu kwa ajili ya haki, ambayo ni tovuti mpya iliyojikita katika kukusanya sarafu hizo ili kulipa faini aliyotozwa prita.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

English

after heavy rains and flooding in southern mozambique that has displaced tens of thousands and killed scores of people, mozambican civil society group makobo has started a solidarity campaign called "s.o.s. chókwè" to collect humanitarian supplies to deliver to victims.

Swahili

baada ya mvua kubwa iliyosababisha mafuriko kusini mwa msumbiji yaliyowaacha maelfu ya raia bila makazi na wengi kupoteza maisha, kikundi cha kiraia cha msumbiji makobo kimeanza kampeni ya mshikamano inayoitwa "s.o.s. chókwè" kukusanya misaada ya hisani kwa ajili ya waathirika.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.

Get a better translation with
9,011,865,712 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK