Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
local netizens have begun to suspect that the video's removal was set in motion by presidential candidate aécio neves.
watumiaji wa mitandao walishuku kuwa kuondolewa kwa video hiyo kulipangwa na kutekelezwa na mgombea urais aécio neves.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
there is strong reason to suspect, however, that khabensky is not the author of the pro-ukraine, anti-putin post on vkontakte.
kuna sababu kubwa ya kuwa na mashaka, hata hivyo, kuwa khabensky hakuandika makala hayo ya kuishabikia ukraine, kumpinga putin kwenye mtandao wa vkontakte.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
although many people seem to suspect the government, one twitter user, tinashe chirape, suggested that it was the work of the opposition movement for democratic change (mdc):
inagwa watu wengi wanaonekana kuitilia mashaka serikali, mtumiaji mmoja wa mtandao wa twita, tinashe chirape, alipendekeza kuwa ilikuwa ni kazi ya chama cha upinzani cha mdc chenyewe:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.