Results for to wear translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

i would love to wear your shir

Swahili

chomekea shati

Last Update: 2022-12-02
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

requirement to wear a face mask in public

Swahili

mahitaji ya kuvaa barakoa ukiwa kwa umma

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

israel has asked all residents to wear face masks when in public.

Swahili

israeli imeuliza wakazi wote kuvaa barakoa wakiwa hadharani.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

those who may already have the infection have been advised to wear a surgical mask in public.

Swahili

wale ambao huenda wameambukizwa tayari wameshauriwa kuvaa barakoa ya kimatibabu hadharani.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

south korea: flight attendants demand right to wear trousers · global voices

Swahili

korea kusini: wahudumu wa ndege wapigania haki ya kuvaa suruali

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

it is he who has subdued the sea that you may eat fresh meat from it, and obtain ornaments to wear.

Swahili

yeye ndiye aliye ifanya bahari ikutumikieni, ili kutokana na humo mpate kula nyama laini, na mtoe humo mapambo mnayo yavaa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

but despite regaining his freedom, he continued to wear a blue prison shirt in solidarity with other political prisoners.

Swahili

lakini hata baada ya kurejeshewa uhuru wake, aliendelea kuvaa shati la rangi ya bluu la wafungwa akiwakumbuka na kuwaunga mkono wafungwa wengine wa kisiasa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

if all works out, perhaps the medics won't have to wear the photographs on their clothing much longer.

Swahili

kama juhudi zitaendelea, huenda watumishi wa afya hawatahitajika kubandika picha zao kwenye nguo zao kwa muda mrefu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

on 16 march, vietnam requested everyone to wear a face mask when going to public areas in order to protect themselves and others.

Swahili

tarehe 16 machi, vietnam iliomba kila mtu kuvaa baragoa wakati wanaenda maeneo hadharani ili kujilinda na wengineo.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

as the family tries to adapt to new countries and new environments, the strain begins to wear on the amer and raghda’s marriage.

Swahili

kadiri familia inavyozidi kuzoea nchi za kigeni pamoja na mazingira mapya, hali ya kukosa amani inajitokeza katika familia ya amer na raghda.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

for instance, these may include cleaning facilities more frequently, allowing flight attendants to wear masks, and serving prepackaged instead of freshly heated meals.

Swahili

kwa mfano, hii inaweza kujumuisha kusafisha vituo mara kwa mara, kuruhusu wahudumu wa ndege kuvaa barakoa, na kupeana vyakula vilivyoandaliwa mapema vilivyopashwa joto upya.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

gardens of perpetuity, they shall enter therein; they shad be made to wear therein bracelets of gold and pearls, and their dress therein shall be silk.

Swahili

mabustani ya milele watayaingia. huko watavikwa vikuku vya dhahabu, na lulu, na nguo zao humo ni za hariri.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

taiwan, which has been producing ten million masks per day since mid-march, required passengers on trains and intercity buses to wear face masks on 1 april.

Swahili

taiwan, ambayo imekuwa ikizalisha barakoa milioni kumi kila siku tangu katikati ya mwezi machi, ilihitaji abiria kwenye treni na basi za jiji hadi jiji kuvaa barakoa za uso mnamo tarehe 1.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

indeed allah will admit those who believed and did good deeds into gardens beneath which rivers flow – in it they will be made to wear armlets of gold, and pearls, and in it their garment is silk.

Swahili

hakika mwenyezi mungu atawaingiza walio amini na wakatenda mema katika bustani zipitiwazo na mito kati yake. watapambwa humo kwa mapambo ya mikononi ya dhahabu na lulu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

alike are not two bodies of water: this one is sweet and fresh and pleasant to drink, and this one brine and bitter; yet you get fresh meat to eat from both, and take out ornaments to wear.

Swahili

na bahari mbili haziwi sawa; haya ni matamu yenye ladha, mazuri kunywa. na haya ni ya chumvi, machungu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

and he it is who has subjected the sea (to you), that you eat thereof fresh tender meat (i.e. fish), and that you bring forth out of it ornaments to wear.

Swahili

yeye ndiye aliye ifanya bahari ikutumikieni, ili kutokana na humo mpate kula nyama laini, na mtoe humo mapambo mnayo yavaa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
8,950,842,097 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK