Results for tossed translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

tossed by the rain

Swahili

kifua kubana

Last Update: 2024-04-05
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and we being exceedingly tossed with a tempest, the next day they lightened the ship;

Swahili

dhoruba iliendelea kuvuma na kesho yake wakaanza kutupa nje shehena ya meli.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

English

but the ship was now in the midst of the sea, tossed with waves: for the wind was contrary.

Swahili

na wakati huo ile mashua ilikwishafika karibu katikati ya ziwa, lakini ilikuwa inakwenda mrama kwa sababu upepo ulikuwa unaipinga.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

English

you could see the people tossed around, as though they were stumps of hollow palm-trees.

Swahili

utaona watu wamepinduka kama kwamba ni magongo ya mitende yalio wazi ndani.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

but let him ask in faith, nothing wavering. for he that wavereth is like a wave of the sea driven with the wind and tossed.

Swahili

lakini anapaswa kuomba kwa imani bila mashaka yoyote. mtu aliye na mashaka ni kama mawimbi ya bahari ambayo husukumwa na kutupwatupwa na upepo.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

English

it is only those who believe not in allah and the last day and whose hearts doubt who ask thy leave, so in their doubt they are tossed to and fro.

Swahili

wasio muamini mwenyezi mungu na siku ya mwisho na nyoyo zao zikatia shaka, hao tu ndio wanao kutaka ruhusa. basi hao wanataradadi katika shaka zao.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

only those ask thee for exemption who believe not in allah and the last day, and whose hearts are in doubt, so that they are tossed in their doubts to and fro.

Swahili

wasio muamini mwenyezi mungu na siku ya mwisho na nyoyo zao zikatia shaka, hao tu ndio wanao kutaka ruhusa. basi hao wanataradadi katika shaka zao.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

they had suffered affliction and loss, and were shaken and tossed about so that even the apostle had to cry out with his followers: "when will the help of god arrive?"

Swahili

iliwapata shida na madhara na wakatikiswa hata mtume na walio amini pamoja naye wakasema: lini nusura ya mwenyezi mungu itakuja?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

that we henceforth be no more children, tossed to and fro, and carried about with every wind of doctrine, by the sleight of men, and cunning craftiness, whereby they lie in wait to deceive;

Swahili

basi, hatutakuwa tena kama watoto, tukitupwa na kupeperushwa huko na huko kwa kila upepo wa mafundisho wanayozua watu wadanganyifu, ili wawapotoshe wengine kwa hila.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
9,153,659,573 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK