From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
several frameworks for building contact tracing apps have been developed.
mifumo kadhaa ya kuunda proramu za kutafuta watu waliotangamana imetengenezwa.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
abdulahi registered with the tracing project and began a search for missing loved ones.
abdilahi alijiunga na mradi wa kutafuta watu na kuanza kuwatafutwa wapendwa waliopotea.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
rollout of tools to enable governments to create official privacy-preserving coronavirus tracing apps
kutoa zana za kuwezesha serikali kuunda programu rasmi za utafutaji wa watu wenye virusi vya korona ambayo inalinda faragha
Last Update: 2024-09-27
Usage Frequency: 1
Quality:
in south korea, a non-app-based system was used to perform contact tracing.
huko korea kusini, mfumo usio wa programu ulitumika kufanya utafutaji wa watu waliotangamana.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
tracing the zoonotic origins of hcovs provides a framework to understand the natural history, driving force and restriction factors of species jumping.
kufuatilia chanzo cha hcov kutoka kwa wanyama hutoa utaratibu wa kuelewa historia asilia, msukumo na vigezo vya uzuiaji wa ugonjwa kusambaa baina ya aina za wanyama.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
only few reports of laboratory-confirmed asymptomatic cases exist, but asymptomatic transmission has been identified by some countries during contact tracing investigations.
kuna ripoti chache tu ya visa vilivyothibitishwa maabarani vya watu wasioonyesha dalili zozote ilhali wana virusi kuwepo, lakini visa vya watu walioambukizwa na wasioonyesha dalili zimetambuliwa na nchi zingine wakati wanafuatilia watu waliotangamana na wagonjwa.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
the proposed google/apple plan intends to address the problem of persistent surveillance by removing the tracing mechanism from their device operating systems once it is no longer needed.
mpango uliopendekezwa wa google/apple unakusudia kushughukia tatizo la uchunguzi wa kuendelea kwa kuondoa utaratibu wa ufutaji kutoka kwa mfumo wa uendeshaji wa kifaa chao baada kukosa kuhitajika tena.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
the world health organization (who) recommends active surveillance, with focus of case finding, testing and contact tracing in all transmission scenarios.
shirika la afya duniani (who) linapendekeza uchunguzi amilifu, ukizingatia utafutaji wa kisa, upimaji na utafutaji wa utangamano katika hali zote za maambukizo.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
testing, followed with quarantine of those who tested positive and tracing of those with whom the sars-cov-2 positive people had had contact, resulted in positive outcomes.
upimaji, ukifatwa na karantini ya wale waliopimwa na kupatikana na ugonjwa na kufuatiliwa kwa wale waliotangamana na walio na sars-cov-2, ilitokea katika matokeo ya kuambukizwa.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
airline schedules were also affected and therefore they were changed.south korea introduced what was considered the largest and best-organized programme in the world to screen the population for the virus, and isolate any infected people as well as tracing and quarantining those who contacted them.
ratiba za mashirika ya ndege ziliathiriwa na kwa hivyo zilibadilishwa.korea kusini ilianzisha kilichozingatiwa mradi mkubwa na uliopangwa vizuri sana duniani kupima watu kwa virusi, na kutenga yeyote aliyeathiriwa pamoja na kufuatilia na kuweka karantini wale waliopatana nao.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
b'covid-19 apps are mobile software applications designed to aid contact tracing in response to the 2019-20 coronavirus pandemic, i.e. the process of identifying persons ("contacts") who may have been in contact with an infected individual.
programu za covid-19 ni progamu-tumizi za simu ya mkononi zilizoundwa kusaidia kutafuta watu waliotangamana ili kushughulikia maradhi ya virusi vya korona 2019-20, yaani mchakato wa kutambua watu ("watu waliokutana nao") ambao wanaweza kuwa walitangamana na mtu aliyeambukizwa.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting