From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
trending
filamu zilizoongezwa hivi karibuni
Last Update: 2024-09-10
Usage Frequency: 1
Quality:
côte d'ivoire trending
côte d'ivoire ni mada inayoongoza kwenye twita
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
#jega trending on twitter:
alama ya #jega inaongoza kwenye twita:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
#sakingspeech trending no twitter
##sakingspeech ikienea kwenye twita
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
currently, the hashtag #iregistered is trending on twitter.
hivi sasa, alama ya #iregistered inatawala mijadala ya mtandao wa twita.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
it was the second most trending topics on twitter in france on april 3.
hii ilikuwa ndio mada ya pili kwa mvuto kuliko nyingine yoyote katika twita nchini ufaransa mnamo aprili 3.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
this term and other phrases of similar sophistication has since been trending in malaysia.
neno hilo na yanayofanana nayo yamekuwa yakitawala mijadala ya mtandaoni nchini malaysia.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
hashtags demanding their release from prison in bahrain and egypt were trending on twitter.
alama ishara zinazodai kuachiliwa kwao huru kutoka kwenye magereza ya bahrain na misri zilitawala mtandao wa twita.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
lanzhou water contamination was one of the top three trending topics on weibo as of friday night.
uchavuzi wa maji kwa kemikali hatari huko lanzhou imekuwa ni moja ya mada tatu zilizopewa kipau mbele katika mtandao wa weibo siku ya ijumaa usiku.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
after his death ‘#mehdihassan’ had been trending on twitter across pakistan and india.
baada ya kifo chake, 'mehdihassan', amekuwa akitawala sana katika mtandao wa twita katika nchi za pakistan na india.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
another trending hashtag is #consolação, the name of the street where the protests are taking place.
kiungo ishara kingine kilichoshika kasi kilikuwa ni #consolação, jina la mtaa ambao ndio maandamano yalipofanyikia
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
interesting to see 'jega' trending worldwide on twitter as #jegadecides nigeria's future
inafurahisha kumwona “jega” akiongoza kwa twita duniani kote kama #jega ataamua mustakabali wa naijeria
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
news of the apparition instantly became a trending topic in cameroon on twitter where users tweeted about the claim with incredulity and levity.
habari za kuonekana "kwa yesu" ghafla zikawa habari kubwa kwenye mtandao wa twita nchini cameroon ambapo watumiaji walitwiti madai hayo katika hali ya kutokuamini na utani.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
@kevin2tek: #nairobiblast now trending globally.please watch what you tweet,dont spread panic or pander lies!
@kevin2tek: alama inayotumika kujadili tukio la mlipuko huo, #nairobiblast, sasa inatawala gumzo la mtandao wa twita duniani kote.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
as a result of the catastrophic 7.0 earthquake that hit the island country this evening (january 12), "haiti" is currently a trending topic on twitter.
kutokana na janga la tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 7.0 ambalo limeikumba haiti jioni ya leo (januari 12), “haiti” ni mada kuu hivi sasa kwenye huduma ya twita.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting