Results for trigger translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

sudan: protests trigger arrest of twitter activists · global voices

Swahili

sudani: maandamano yachochea kukamatwa kwa mwanaharakati wa twita

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the aim of the event is to raise awareness and trigger a global discussion on that particular day.

Swahili

kusudi la tukio hilo ni kuongeza ufahamu na kuanzisha mijadala ya kidunia katika siku hiyo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

elections in africa are a high risk affair and in the recent times, they have been a trigger of conflicts.

Swahili

chaguzi barani afrika ni suala lenye hatari zake na katika nyakati za hivi karibuni, chaguzi zimekuwa kichocheo cha migogoro.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the fusion of these and other trigger issues, far from discouraging protestors, has renewed their revolutionary spirit.

Swahili

mchanganyiko wa haya na masuala mengine, mbali na kuwakatisha tamaa waandamanaji, yamewachochea kuwa na moyo wa kutaka mapinduzi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

enough cases of unknown pneumonia had been reported to health authorities in wuhan to trigger an investigation in early january.during the early stages of the outbreak, the number of cases doubled approximately every seven and a half days.

Swahili

visa vya kutosha vya mchochota wa pafu visivyojulikana vilikuwa vimeripotiwa kwa mamlaka za afya wuhan kusababisha uchunguzi mwanzo wa januari.katika hatua za mwanzo wa mlipuko, nambari za visa viliongezeka maradufu takriban kila siku saba na nusu.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

@pcayuqueo: it's hard to talk about the background of the mapuche issue when what triggers debates is police chronicles.

Swahili

@pcayuqueo: n ni vigumu kuongelea chimbuko la jambo hili la mapuche wakati kinachochochea mijadala ni matukio ya muda mrefu ya polisi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
9,179,749,176 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK