From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
four of seven had first trimester miscarriage, two of five had fetal growth restriction in the second trimester, and four of five had preterm birth.
watu wanne kati ya saba, mimba yao iliharibika katika miezi mitatu ya kwanza, wawili kati ya tano walikuwa na kizuizi cha ukuaji wa kijusi katika miezi mitatu ya pili na wanne kati ya tano walizaa kabla ya wakati kufika.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
a survey conducted in shanghai among pregnant women in different trimesters of pregnancy identified a strong demand for online access to health information and services.
utafiti uliofanywa huko shangai wa wanawake wajawazito katika miezi tofauti ya ujauzito ulibaini hitaji kubwa la ufikiaji wa mtandaoni wa maelezo na huduma za afya.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality: