From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
you're too troublesome for too many hours
uko na ujinga mingi sanaaa
Last Update: 2022-07-18
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
shikamoo father. i'm so sorry for not receiving a sim and not giving you a nudge. i got in trouble i didn't eat what i told you i bring you money.i ask you to bear with me till oct at the beginning.. i can't get a call to tell you what but i got in trouble and traveled. i'm so sorry for the inconvenience . i know i've been a very troublesome tenant on money.. i'm so sorry for the inconvenience but it happened i can't even explain.. may you understand my father.
shikamoo baba. samahani sana kwa kutokupokea sim na kuto kukulipa pesa kama nilivyo ahidi. nilipata matatizo ilesiku niliyo kuambia nakuletea hela na nika safiri.naomba univumilie hadi oct mwanzoni..nashindwa kupokea simu nikuambie nini kilinipata kwasababu nakuwa nakuambia mambo ambayo hustaili kuambiwa. samahani sana kwa usumbufu . najuwa nimekuwa mpangaji msumbufu sana kwenye pesa.. samahani sana kwa usumbufu lakini ilijambo liemetokea nashindwa hata kuelezea.. naomba unielewetu baba yangu.
Last Update: 2022-09-21
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: