Results for typically translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

typically

Swahili

mtu

Last Update: 2024-08-28
Usage Frequency: 1
Quality:

English

primary or elementary education typically consists of the first four to seven years of formal education.

Swahili

masomo ya msingi kwa kawaida hujumuisha miaka ya kwanza minne au saba ya elimu rasmi.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the incubation period for covid-19 is typically five to six days but may range from two to 14 days.

Swahili

kipindi cha kupevuka cha covid-19 kwa kawaida ni siku tano hadi sita lakini kinaweza kuanzia ya pili au kumi na nne.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the time from exposure to onset of symptoms is typically around five days, but may range from two to fourteen days.

Swahili

wakati kutoka kuambukizwa hadi kuonekana kwa dalili kwa kawaida ni karibu siku tano, lakini huenda ikawa kati ya siku mbili hadi kumi na nne.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

mild cases typically recover within two weeks, while those with severe or critical diseases may take three to six weeks to recover.

Swahili

ugonjwa usio kali kwa kawaida hupona ndani ya wiki mbili, ambapo watu wenye ugonjwa kali au wa hali mahututi wanaweza kuchukua muda wa wiki tatu au sita kupona.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the test is typically done on respiratory samples obtained by a nasopharyngeal swab; however, a nasal swab or sputum sample may also be used.

Swahili

uchunguzi huo kwa kawaida hufanywa kwenye sampuli za pumzi zilizopatikana na sampuli ya majaribio ya kliniki ya pua; hata hivyo; sampuli ya kohozi na mate pia inaweza kutumika.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

as most innovative projects such as ghana decides are typically based in the nation's capital, the project team thought it best to launch outside of accra.

Swahili

kwa kuwa miradi mingi ya kibunifu inayofanana na “ghana decides” kwa kawaida hujikita kwenye makao makuu ya nchi hiyo, timu ya mradi huo ilionelea vyema iuzindue mradi huo nje ya jiji la accra.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

particularly, we highlight and discuss the common theme that parental viruses of hcovs are typically non-pathogenic in their natural reservoir hosts but become pathogenic after interspecies transmission to a new host.

Swahili

hususan, tunaangazia na kujadili mada ya kawaida kwamba virusi vizalishaji vya hcov kawaida havina uwezo wa kusababisha magonjwa ndani ya wabebaji wake asilia lakini huwa na uwezo wa kusababisha ugonjwa baada ya kusambazwa baina ya aina ya wanyama hadi kwa mbebaji mpya.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

undergraduate education is education conducted after secondary education and prior to post-graduate education, for which the learner is typically awarded a bachelor's degree.

Swahili

elimu ya shahada ni elimu inayoendeshwa baada ya elimu ya shule ya upili na kabla ya elimu za uzamifu, ambapo wanafunzi wanafuzu kwa shahada ya kwanza.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

maciej boni of penn state university stated, "left unchecked, infectious outbreaks typically plateau and then start to decline when the disease runs out of available hosts.

Swahili

maciej boni wa chuo kikuu cha penn state alisema, "zisipofuatiliwa, kuzuka kwa maambukizi kwa kawaida huendelea kisha huanza kupungua wakati ugonjwa inaishiwa watu wa kuambukizwa.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

even more countries have imposed restrictions on arriving travelers, either barring entry (maybe with an exception for local citizens and permanent residents) or requiring you to be quarantined, typically for 14 days.

Swahili

hata nchi zaidi zimeweka vikwazo kwa wasafiri wanaowasili, aidha kuwazuia kuingia (isipokuwa raia na wakazi wa kudumu) au kuwahitaji kukarantini, kwa kawaida siku 14.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

a dynamic, systematic review was established in april 2020 to track the progress of registered clinical trials for covid-19 vaccine and therapeutic drug candidates.vaccine and drug development is a multistep process, typically requiring more than five years to assure safety and efficacy of the new compound.

Swahili

uhakiki changamani, wa kimfumo ulianzishwa mnamo aprili 2020 kufuatilia maendeleo ya majaribio yaliyosajiliwa ya kimatibabu ya chanjo ya covid-19 na dawa zilizoteuliwa za matibabu. utengenezaji wa chanjo na dawa ni mchakato uaohusisha hatua nyingi, unaohitaji kwa kawaida zaidi ya miaka mitano ili kuhakikisha usalama na kemikali mpya.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,882,064,862 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK