From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
unfortunately
unfortunately
Last Update: 2022-09-08
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
unfortunately no
kwa bahati mbaya
Last Update: 2021-08-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
unfortunately even admins are human.
kwa bahati mbaya hata waendeshaji wa kurasa za mtandaoni nao ni binadamu.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
the meaning of the word unfortunately in swahili
maana ya neno unfortunately kwa kiswahili
Last Update: 2024-02-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
unfortunately, yushchenko isn't reading your lj .
kwa bahati mbaya, yuschenko hasomi blogu yako lj.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
fortunately or unfortunately, the market’s days are numbered.
kwa bahati nzuri au mbaya, siku za zoko hilo zinahesabika.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
war is a real monster, but unfortunately so is dictatorship and prison.
vita ni jinamizi la kweli, lakini bahati mbaya vilevile ndivyo ulivyo udikteta na gereza.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
unfortunately, no celebration took place in swat due to possible terrorist threats.
kwa bahati mbaya, hakukuwa na sherehe huko swati kwa sababu ya hatari ya shambulio la kigaidi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
the issue of deforestation in madagascar is unfortunately not limited to rosewood trafficking.
suala la kupotea kwa misitu huko madagascar kwa bahati mbaya haliishii kwenye biashara ya magogo ya rosewood.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
unfortunately some children were evacuated in haste without all their details being recorded.
kwa bahati mbaya watoto wengine walichukuliwa kwa haraka bila taarifa zote za kina kuandikwa.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
@hassan_elshater : unfortunately dad is running for presidency! :s
@hassan_elshater : ni bahati mbaya baba anagombea urais!:s
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
this unfortunately cannot be said of many other east african artists as i could not find any other artist blog.
hili kwa bahati mbaya sana haliwezi kusemwa kwa wasanii wengi wengine wa afrika mashariki kwa sababu sikuweza kupata blogu yoyote ya msanii mwingine.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
one day he landed a big job of mending the shoes of the school football team, unfortunately that money was stolen.
wakati fulani victor alijipatia kazi nzuri ya kufanya maboresho ya viatu vya timu ya shule ya mpira wa miguu, kwa bahati mbaya fedha aliyoipata iliibwa.
Last Update: 2024-02-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
enacted in 2009, ethiopia’s controversial anti-terrorism law is unfortunately familiar for political journalists in the country.
ikiwa imetungwa mwaka 2009, sheria tata ya kupinga ugaidi nchini ethiopia kwa bahati mbaya haifahamiki sana kwa waandishi wa habari za kisiasa nchini humo.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
this unfortunately is a common occurrence in lebanon and other arab countries that employ the kafala, or 'sponsorship' system.
kwa habati mbaya, matukio haya yamekuwa ya kawaida sana nchini lebanon pamoja na nchi nyingine za kiarabu wanaotunmia mfumo wa kafala, au mfumo wa 'ufadhili'.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
unfortunately, these people were simply ignorant of the “rules,” some willfully so, and are now facing the consequences.
kwa bahati mbaya, hawa watu hawazifahamu "taratibu", wengine kwa kupenda, na hivi sasa wanakumbana na matokeo.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
laurent nkunda made a statement on television and radio announcing a unilateral cease-fire, which is encouraging, but unfortunately does not translate into a peaceful evening.
laurent nkunda ametoa tamko kwenye televisheni na redio akitangaza kusitishwa kwa mapigano, jambo la kutia moyo, kwa bahati mbaya hilo halijasababisha jioni yenye utulivu.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
unfortunately, as i and many other sociologists and commentators have argued, even in this past year, we have seen numerous incidents that illustrate just how prevalent racial distinctions and racism still are in american society.
kwa bahati mbaya, kama mimi na wataalamu wa sayansi ya jamii pamoja na watoa maoni tulivyosema, hata katika mwaka huu uliopita, tumeona matukio kadhaa ambayo yanaonyesha kwa kiasi gani utofauti wa rangi na ubaguzi wa rangi bado uemeenea katika jamii ya marekani.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
the social media coverage in perm was based on the accounts of those who witnessed the crash but were not part of it (unfortunately, there were no survivors on the plane).
2.habari zilizoandikwa kwa uanahabari wa kijamii kule perm zilitokana na maelezo ya walioishuhudia ajali ambao hawakuwamo katika ajali (kwa bahati mbaya, hapakuwa na walionusurika kutoka katika ile ndege).
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
congratulations on my birthday i thank god for giving me another year it is for his mercy make me always praise him i will not give up in any way because only you know how i am heaven and earth knew my birth the heads of state knew my birth i did not come to earth unfortunately god decided i should be born and exist now not by my will but his will was fulfilled the glory and honor of him thank you to my mother for taking care of me too.
hongera kwa siku ya kuzaliwa kwangu namshukuru mungu kwa kunipa mwaka mwingine ni kwa rehema zake zanifanya nidum daima namsifu yeye pekee sitakata tamaa kwa namna yoyote ile sababu ni ueye pekee ajuaye mim nilivyo mbingu na nchi zilijua kuzaliwa kwangu wakuu wa nchi walijua kuzaliwa kwangu sikuja dunian kwa bahati mbaya ni mungu aliamua mimi nizaliwe na kuwepo mpka sasa si kwa mapenzi yangu bali ni mapenzi yake yalitimizwa utukufu na heshima kwake yeye pia asante mama kwa kunibeba tumboni mie
Last Update: 2024-09-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: