From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
love is unity
upendo ni umoja
Last Update: 2022-08-26
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
freedom and unity
uhuru na umoja
Last Update: 2016-05-16
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
unity is our pride
fahari yetu
Last Update: 2020-05-20
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
wisdom, unity and peace
hekima,amani, busala na upendo vitawale kwenye maisha yako
Last Update: 2023-09-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
it felt good to see their unity.
ilifurahisha kuona umoja wao.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
unity is strength and division is weakness
umoja ni nguvu
Last Update: 2019-01-27
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
is shari'a more important that unity?:
je, sheria ya kiislaamu (sharia) ni muhimu kuliko umoja?:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
tanzania has long prided itself on its unassailable unity.
tanzania imekuwa ikijivunia umoja wa watu wake ambao hauwezi kuingiliwa.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
among whose hearts he has placed affection and unity.
na akaziunga nyoyo zao.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kenya: call for unity amid terror attacks · global voices
kenya: wito wa mshikamano baada ya mashambulizi ya kigaidi
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
below are some of twitter messages in support of peace and national unity:
zifuatazo ni baadhi ya jumbe kwenye mtandao wa twita kuunga mkono amani na umoja wa kitaifa:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
“we have chosen hope over fear, unity of purpose over conflict and discord”
"tumechagua matumaini dhidi ya hofu, umoja wa nia dhidi ya migogoro na kutoelewana"
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
palestinian bahaa alkayyali prays for a united sudan: unity for sudan .. unity
mpalestina bahaa alkayyali anaombea umoja wa sudani الوحدة للسودان... الوحدة #sudan umoja kwa sudani…umoja
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
since 2003, he has been working for forgiveness, reconciliation and unity in the rwandan diaspora in europe.
tangu mwaka 2003, amekuwa akifanya kazi za kuhamasisha watu kusameheana, kuridhiana na kuungana hususana kwa raia wa nchi hiyo waishio ughaibuni barani ulaya.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
minutes after he was officially enthroned, patriarch neofit vowed to pray for peace and unity of the bulgarian people.
dakika chache mara baada ya kutawazwa, askofu mkuu neofit aliahidi kuombea amani na mshikamano kwa ajili ya watu wa bulgaria.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
from saudi arabia to palestine, arab tweeps are discussing sudan's unity, division and resources.
kuanzia saudia mpaka palestina, watumiaji twita wa kiarabu wanajadiliana kuhusu mshikamano, kugawanyika na rasili mali za sudani.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
the election or ge13 as it has become known, i suspect, will be a political milestone for the manifestation of malaysian unity all over the world.
uchaguzi au ge13 kama unavyojulikana sasa, ninahisi, itakuwa ni hatua ya kisiasa kwa ajili ya udhihirisho wa umoja wa wa-malaysia duniani kote.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
after the genocide, the country took legal action, creating a national unity and reconciliation commission (nurc).
baada ya mauaji ya kimbari, nchi hiyo ilichukua hatua za kisheria, kujenga tume ya kitaifa ya umoja na maridhiano (nurc).
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
being a multi-racial country, the main aim of 1malaysia is to promote national unity and to strengthen the ties between various ethnic groups.
ikiwa ni nchi ya watu wa rangi tofauti, lengo kubwa la malaysia1 ni kuukuza umoja wa kitaifa na kuimarisha ushirikiano baina ya makundi mbali mbali yenye rangi tofauti.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
back in 2012, after he released an album that expresses the pain of separation from his spiritual leader and a strong desire for tibetan unity, he disappeared for quite a lengthy period of time.
mwaka 2012, baada ya kuzindua albamu yake iliyokuwa inaonyesha maumivu ya kutengenana na kiongozi wake wa kiroho na shauku yake kubw aya umoja wa watibeti, alibaki kimya kwa muda mrefu.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: