From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
therefore, my beloved brethren, be ye stedfast, unmoveable, always abounding in the work of the lord, forasmuch as ye know that your labour is not in vain in the lord.
basi, ndugu zangu wapenzi, simameni imara na thabiti. endeleeni daima kuwa na bidii katika kazi ya bwana, mkijua kwamba kazi mnayofanya katika utumishi wa bwana haitapotea bure.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
and falling into a place where two seas met, they ran the ship aground; and the forepart stuck fast, and remained unmoveable, but the hinder part was broken with the violence of the waves.
lakini walifika mahali ambapo mikondo miwili ya bahari hukutana, na meli ikakwama. sehemu ya mbele ilikuwa imezama mchangani bila kutikisika. sehemu ya nyuma ya meli ilianza kuvunjika vipandevipande kwa mapigo ya nguvu ya mawimbi.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality: