From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
rich in newly found uranium and oil but its people crushingly poor.
tajiri katika madini na mafuta yaliyogunduliwa siku za hivi karibuni lakini watu wake ni masikini wa kutisha.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
gerard henderson, india, uranium, street crime, and a particularly grubby column
gerard henderson, india, uranium, uhalifu wa mitaani, na makala chafu
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
simultaneously, another car exploded in an uranium mine exploited by the areva group in arlit, niger.
wakati huo huo, gari jingine lilipuka kwenye mgodi wa madini ya uraniam unaomilikiwana kampuni ya areva group mjini arlit, niger.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
since malawi's president bingu wa mutharika declared karonga as a national disaster area, appeals for help to the victims have been pouring to help the people in the uranium mining district.
tangu rais wa malawi bingu wa mutharika aliposema rasmi kuwa karonga ni sehemu ya janga la kitaifa, rai za kuwasaidia waliathirika zimekuwa zikimiminika ili kuwasaidia watu katika wilaya hii ya migodi ya madini ya uranium.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
india's prime gripe turned on the refusal of the rudd government's to sell uranium to india, which overturned the intention of john howard and his senior ministers.
lalamiko kuu la india lilizungukia katika uamuzi wa serikali ya rudd kukataa kuiuzia india madini ya uranium, uamuzi ambao uliipindua nia ya john howard pamoja na mawaziri wake.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
writing in registan.net, alexander visotzky looks at the corruption charges against mukhtar dzhakishev for the illegal sale of uranium and concludes, "the fight against corruption in kazakhstan is apparently much more of a political game than an attempt to root out corruption."
akiandika katika tovuti ya registan.net, alexander visotsky anaangalia mashtaka ya rushwa dhidi ya mukhtar dzhakishev yaliyotokana na uuzaji wa madini ya uranium kinyume cha sheria na kuhitimisha, “vita dhini ya rushwa nchini kazakhstan ni mchezo wa kisiasa zaidi ya jitihada za kuing’oa rushwa.”
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting