From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
due to capacity limitations in the standard supply chains, some digital manufacturers are printing healthcare material such as nasal swabs and ventilator parts.
kwa sababu ya vizuizi vya uwezo katika msururu wa ugavi wa kawaida, baadhi ya watengenezaji wa kidijitali wanachapisha vifaa vya huduma ya afya kama vile visafisha pua na sehemu za uingizaji wa hewa.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
ventilators capable of pressure control modes and high peep are needed to maximise oxygen delivery while minimising the risk of ventilator-associated lung injury and pneumothorax.
vyombo vya kupitisha hewa vinavyoweza kudhibiti shinikizo na peep ya juu vinahitajika kuongeza utoaji wa oksijeni na bado ikipunguza hatari ya jeraha la mapafu linalohusiana na chombo cha kupitisha hewa
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
in one example, when an italian hospital urgently required a ventilator valve, and the supplier was unable to deliver in the timescale required, a local startup reverse-engineered and printed the required 100 valves overnight.
katika mfano mmoja, wakati hospitali ya italia ilihitaji kwa haraka neli ya uingizaji hewa, na muuzaji hakuweza kuwasilisha kwa muda mwafaka, muuzaji wa ndani alitengeneza na kuchapisha neli 100 zinazohitajika kwa usiku mmoja.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
he later sent 5,000 testing kits, 100,000 face masks and 5 ventilators to panama.
baadaye alituma vifaa vya kupima virusi 5,000, barakoa za uso 100,000 na vifaa za kusaidia kupumua 5 kuelekea panama.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality: