Results for version translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

version

Swahili

toleo

Last Update: 2014-08-15
Usage Frequency: 3
Quality:

English

new version available

Swahili

toleo jipya linapatikana

Last Update: 2014-08-15
Usage Frequency: 3
Quality:

English

arabic version is here.

Swahili

fatwa yenyewe inapatikana hapa kwa kiarabu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

personality test in swahili version

Swahili

jaribio la haiba katika toleo la kiswahili

Last Update: 2025-01-19
Usage Frequency: 1
Quality:

English

nini maana ya version kwa kiswahil

Swahili

nini maana ya version kwa kiswahil

Last Update: 2024-02-27
Usage Frequency: 1
Quality:

English

display information on this gnome version

Swahili

zinza taarifa kuhusu toleo hili la gnome

Last Update: 2014-08-15
Usage Frequency: 3
Quality:

English

there is also a danish version in summary.

Swahili

vilevile kuna toleo la kidenishi kwa muhtasari.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

af beib' send me ur 1st version # of ur whtsap

Swahili

nitumie whatsapp contact yako

Last Update: 2023-04-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

an andy warhol version of a young moscow metro gunman.

Swahili

toleo la andy warhol la mtumia silaha kijana wa treni za moscow.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

the human version of the enzyme is often referred to as hace2.

Swahili

toleo la mwanadamu la kimeng'enya hurejelewa mara kwa mara kama hace2.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

the original version of the letter below is available on my blog in portuguese.

Swahili

nakala mama ya barua iliyo hapa chini inapatikana katika blogu yangu ya lugha ya kireno.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

kuwait is happy with its very own version of pharrell's happy music video.

Swahili

kuwait inaonesha furaha yake kupitia video iliyobuniwa upya ya wimbo wa pharrell unaofahamika kwa jina la furaha.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

you can read the complete report in the spanish-language version of the amnesty international website.

Swahili

unaweza kusoma taarifa hiyo kamili hapa kwenye tovuti ya toleo la lugha ya kihispania ya shirika la amnesty international.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

please note this is a rough translation from afrikaans to english, proper version will be updated in a few minutes.

Swahili

tafadhali tambua kuwa tafsiri ya kwanza kutoka lugha ya kiafrikaans kwenda kiingereza ilikuwa ya juu juu, toleo rasmi litawekwa baada ya dakika chache.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

the electronic version of the weekly proceso had previously reported the disappearance of the reporter, demanding answers from the authorities.

Swahili

gazeti la kielekroniki la kila wiki la proceso mapema lilitoa taarifa ya kupotea kwa mwandishi huyu wa habari huku likihitaji majibu kutoka serikalini.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

one version, uploaded today by umum0707, has been watched more than 750,000 times at the time of writing this post.

Swahili

katika toleo moja liliwekwa mtandaoni na umum0707, limetazamwa zaidi ya mara 750,000 wakati wa kuandikwa kwa makala hii.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

you can read a narrative version of this story on boing boing, as well as the full set of tweets & reactions on doha news.

Swahili

unaweza kusoma nakala iliyo katika muundo wa simulizi ya habari hii kupitia boing boing, na vilevile seti kamili ta twita & miitiko kupitia doha news.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

English

i would like to thank the government for reminding us that bahrain is still a new version of a third word country where freedom is something to talk about but not to experience.

Swahili

ninapenda kuishukuru serikali kwa kutukumbusha kwamba bahrain ni toleo jipya la nchi za dunia ya tatu ambako uhuru ni jambo linaloongelewa tu lakini halipo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

a parody photomontage of president gjorge ivanov participating in the macedonian version of the popular television quiz “who wants to be a millionaire”.

Swahili

picha ya maigizo ya rais gjorge ivanov akishiriki kwenye shindano maarufu la chemshabongo ya televisheni nchini macedonia “nani anataka kuwa milionea”.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

despite kami's success, some bloggers still believe that she's not an appropriate character for the american version of sesame street.

Swahili

pamoja na mafanikio ya kami, wanablogu wengine bado wanaamini kuwa si mhusika sahihi kwa toleo la kimarekani la sesame street.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
9,219,186,461 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK