Results for virtually translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

in the video, it is virtually impossible to identify the key components of the aircraft amid the debris.

Swahili

katika video hiyo, si rahisi kutambua sehemu yoyote ya ndege hiyo kwenye mabaki hayo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and this emotion is likely to be further amplified as the indian mainstream media hyperventilates and virtually runs amok with its over the top coverage of the incident.

Swahili

nahisia hizi zinaweza kuongezeka zaidi kwa vile vyombo vikuu vya habari vya india vinahaha na kukimbia kila mahali na matangazo yake yaliyokithiri ya tukio hilo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

gnome's greatest strength is our strong community. virtually anyone, with or without coding skills, can contribute to making gnome better.

Swahili

msingi kuu ya gnome ni washuhudi wetu.takriban kila mtu alie au asie na ujuzi wa kutunga programu anauwezo wa kusaidia kuboresha gnome

Last Update: 2014-08-15
Usage Frequency: 3
Quality:

English

after the southeast asian tsunami in 2004, there were many small kids virtually unidentifiable, and yet a very high percentage of those children, thanks to dna testing and other methods, were eventually returned to family members.

Swahili

baada ya tukio la tsunami la asia ya kusini mashariki mwaka 2004, kulikuwa na watoto wengi wadogo wasiotambulika, na bado asilimia kubwa ya watoto hao, shukrani kwa vipimo vya vinasaba (dna) na njia nyingine, walirudishwa kwenye familia zao.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

if you become president of this nation, take a monthly salary and several other perks that make it virtually unnecessary for you to use your own money and you can’t build a house of your own and you turn around expecting the state to provide you with accommodation upon retirement, then you are nothing but a big fool.

Swahili

kama unakuwa rais wa taifa hili, unachukua mshahara pamoja na marupurupu mengine kadhaa ambayo yanafanya pasiwe na ulazima kwako kutumia pesa zako mwenyewe na hauwezi kujenga nyumba yako mwenyewe kasha unageuka na kutegemea kuwa serikali ikupatie makazi wakati ukiritaya, basi wewe si mwingine zaidi ya mjinga mkubwa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,796,194,342 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK