Results for vocal translation from English to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

English

Swahili

Info

English

vocal

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

and they were vocal about it, yet they still came."

Swahili

na walisema wazi wazi, na bado alikuja."

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

the canadian government has not been publicly vocal on derakhshan's case.

Swahili

serikali ya kanada bado haijatoa msimamo wake hadharani kuhusu kesi ya derakhshan.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the lack of media coverage has angered many kurds, who are being vocal on social networking sites.

Swahili

ukosefu wa vyombo vya habari imewakasirisha wakurdi wengi, ambao wana jadili masuala hayo katika mitandao ya kijamii.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

it wouldn’t be a global voices gathering without smart and vocal people from around the world.

Swahili

kwa kweli mkusanyiko huu usingekuwa na maana hasa ya sauti za dunia bila ya kuwa na watu wenye sauti maridadi kutoka kote duniani.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

mohiuddin, a self proclaimed atheist, has been vocal for the shahbag movement and wrote against religion and religious politics.

Swahili

mohiuddin, aliyejitangaza hadharani kuwa ni mtu asiyeamini mungu, amekuwa akizungumzia harakati za shahbag na aliandika kupinga dini na siasa za udini.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

their aim is to: stop the vocal minority who are using facebook and talk back radio to make this wonderful country look like redneck nirvana.

Swahili

kusitisha wale wachache wenye sauti kubwa ambao wanatumia facebook na vipindi vya kupiga simu redioni kuifanya nchi hii nzuri kuonekana kama vile ahera ya wabaguzi (wanaojulikana kama rednecks)

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

even after the tensions had become commonplace, the severity of a 2010 massacre in the town of dogo-nahawa turned ibanga and other local women into vocal activists.

Swahili

hata baada ya misuguano hiyo kuzoeleka, kiwango cha mauaji ya mwaka 2010 kwenye mji wa dogo-nahawa kulimfanya ibanga na wanawake wengine wa sehemu hiyo kuwa wanaharakati wanaopaza sauti.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

in january 2011, the governor of punjab, salman taseer a vocal critic of pakistan's blasphemy laws, was publicly gunned down by his own guard, mumtaz qadri for his beliefs.

Swahili

mapema januari 2011, kiongozi wa punjab, salman taseer alitoa maneno ya kupinga sheria za pakistani za makosa ya kukashifu imani, hali iliyopelekea yeye kuuwawa hadharani kwa kupigwa risasi na mlinzi wake , aliyejulikana kwa jina la mumtaz qadri, huku ikiaminika kuwa alisukumwa kufanya mauaji haya kwa imani ya dini yake.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

turning to social media, his daughters maryam, aged 27, and zainab al khawaja, aged 31, became vocal on twitter, sharing their story and what was happening in their country to thousands of followers across the world.

Swahili

wakitumia mitandao ya kijamii, mabinti zake maryam, mwenye umri wa miaka 27, na zainab al khawaja, mwenye miaka 31, wamepiga kelele kwenye mtandao wa twita, wakisambaza habari za yale yanayoendelea nchini humo kwa maelfu ya wafuasi wao duniani kote.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,746,501,958 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK