From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
wacha ufala
wacha ufala
Last Update: 2021-01-20
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
wacha wee
i can't stop my self
Last Update: 2022-04-16
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
wacha mchezo
stop playing
Last Update: 2019-01-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
chek staki ufala
cheki staki ufala
Last Update: 2022-04-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
una maneno machafu watupakazia kidudu kidudu gani usie tulia una maneno machafu watupakazia imefika siku yako yaku simuliwa maisha yako ya nyuma yalipoanziaaa (baby j) acha usutwe sutwe hujakoma wewe kidudu mtu yako yanakushinda ni hodari tu kusema ya watu hizo ni sifa mbaya jali utu wewe kuliko kitu hutoishi na watu roho yako chafu safisha kutu haiya haiya kidudu mtu haiya haiya kidudu mtu unafitinisha wenzako we hujali utu wacha kula mapema kidudu mtu jiangalie wacha kula mapema kidudu mtu jiangalie (offside) ulikuja kwa uzuri tukakupokea tukakuona wa maana kumbe ni mmbea ulikuja kwa uzuri tukakupokea tukakuona wa maana kumbe ni mmbea mimi ni kama bahari ukinichafua nadondosha meli kubwa seuze ngalawa haiya haiya kidudu mtu haiya haiya kidudu mtu unafitinisha wenzako we hujali utu wacha kula mapema kidudu mtu jiangalie wacha kula mapema kidudu mtu jiangalie hapo! hapo! hapo! hapo! (mpasho) offside trick watoto wa ki-zanzibari wakali wa hizi kazi umeskia wapi superstar anakula kwa mama ntilie? superstar anakula kempinski bwana! utafungwa wape vidonge vyao dada jamani eee! maisha ni kutafuta na sio kutafutana babu ee wenzako wanaomba kazi wewe unaomba pesa asiohaya wala hajui vibaya mvalisheni dira sasa pamoja na chupi ya bambino hei! yako hilo babu! watakuchun' babu mmm-mmwah vitu vidogo vidogo vinakutoa roho vijimambo vidogo vidogo vinakuendesha mbio vitu vidogo vidogo vinakutoa roho vijimambo vidogo vidogo vinakuendesha mbio hapo! hapo! hapo! hapo! hapo! hapo! vitu vidogo vidogo vinakutoa roho vijimambo vidogo vidogo vinakuendesha mbio vitu vidogo vidogo vinakutoa roho vijimambo vidogo vidogo vinakuendesha mbio
una maneno machafu watupakazia kidudu kidudu gani usie tulia una maneno machafu watupakazia imefika siku yako yaku simuliwa maisha yako ya nyuma yalipoanziaaa (baby j) acha usutwe sutwe hujakoma wewe kidudu mtu yako yanakushinda ni hodari tu kusema ya watu hizo ni sifa mbaya jali utu wewe kuliko kitu hutoishi na watu roho yako chafu safisha kutu haiya haiya kidudu mtu haiya haiya kidudu mtu unafitinisha wenzako we hujali utu wacha kula mapema kidudu mtu jiangalie wacha kula mapema kidudu mtu j
Last Update: 2020-11-17
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: