From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
do not wed idolatresses, until they believe.
wala msiwaoe wanawake washirikina mpaka waamini.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and do not wed idolaters, until they believe.
wala msiwaoze (binti zenu) wanaume washirikina mpaka waamini.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and do not wed the women your fathers had wed.
wala msiwaoe wake walio waoa baba zenu, ila yaliyo kwisha pita.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
so it is, and we will wed them to lovely companions.
hivi ndivyo itakavyo kuwa, na tutawaoza mahurilaini.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
so it will be. we shall wed them to maidens with large, dark eyes.
hivi ndivyo itakavyo kuwa, na tutawaoza mahurilaini.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and wed the singles among you, and those who are fit among your servants and maids.
na waozeni wajane miongoni mwenu na wema katika watumwa wenu na wajakazi wenu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and wed not of women those whom your fathers had wedded, except that which hath already passed.
wala msiwaoe wake walio waoa baba zenu, ila yaliyo kwisha pita.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
as such, we shall wed them to wideeyed houris (the virgins of paradise).
hivi ndivyo itakavyo kuwa, na tutawaoza mahurilaini.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
if ye wed believing women and divorce them before ye have touched them, then there is no period that ye should reckon.
mkiwaoa wanawake, waumini, kisha mkawapa t'alaka kabla ya kuwagusa, basi hamna eda juu yao mtakayo ihisabu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and whosoever of you has not ampleness of means that he may wed free believing women, let him wed such of the believing bondswomen as the right hands of you people own.
na asiyeweza kati yenu kupata mali ya kuolea wanawake wa kiungwana waumini, na aoe katika vijakazi waumini iliyo wamiliki mikono yenu ya kulia.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and wed not infidel women until they believe; of a surety a believing bondwoman is better than an infidel woman, albeit she please you.
wala msiwaoe wanawake washirikina mpaka waamini. na mjakazi muumini ni bora kuliko mshirikina hata akikupendezeni.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
he said, "indeed, i wish to wed you one of these, my two daughters, on [the condition] that you serve me for eight years; but if you complete ten, it will be [as a favor] from you.
akasema: mimi nataka kukuoza mmojawapo katika binti zangu hawa wawili kwa kunitumikia miaka minane.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting