Results for wellnigh translation from English to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

English

Swahili

Info

English

wellnigh

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

and wellnigh bursts asunder with rage.

Swahili

inakaribia kupasuka kwa hasira.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

which he gulpeth, but wellnigh swalloweth not.

Swahili

awe anayagugumia, wala hawezi kuyameza.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

he says, 'by god, wellnigh thou didst destroy me;

Swahili

atasema: wallahi! ulikaribia kunipoteza.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and he will say: by allah, thou hadst wellnigh causedest me to perish.

Swahili

atasema: wallahi! ulikaribia kunipoteza.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

wellnigh he had led us astray from our gods, but that we kept steadfast to them.'

Swahili

kwa hakika alikuwa karibu kutupoteza tuiache miungu yetu, ingeli kuwa hatukushikamana nayo kwa kuvumilia.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the heavens are wellnigh rent of it and the earth split asunder, and the mountains wellnigh fall down crashing for

Swahili

zinakaribia mbingu kutatuka kwa hilo, na ardhi kupasuka, na milima kuanguka vipande vipande.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and that when the servant of allah stood up calling upon him, they wellnigh crowded him (to death).

Swahili

na hakika mja wa mwenyezi mungu alipo simama kumwomba, wao walikuwa karibu kumzonga!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the heavens wellnigh are rent above them, when the angels proclaim the praise of their lord, and ask forgiveness for those on earth.

Swahili

zinakaribia mbingu kupasuka juu huko, na malaika wakimtakasa mola wao mlezi na kumhimidi, na wakiwaombea maghfira waliomo kwenye ardhi.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and the heart of the mother of musa became void, and she had wellnigh disclosed him, had we not fortified her heart, that she might remain one of the believers.

Swahili

na moyo wa mama yake musa ukawa mtupu. alikuwa karibu kumdhihirisha, ingeli kuwa hatukumtia nguvu moyo wake ili awe miongoni mwa waumini.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the unbelievers wellnigh strike thee down with their glances, when they hear the reminder, and they say, 'surely he is a man possessed!'

Swahili

na walio kufuru hukaribia kukutelezesha kwa macho yao, wanapo sikia mawaidha, na wanasema: hakika yeye ni mwendawazimu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and when our signs are recited to them, clear signs, thou recognisest in the faces of the unbelievers denial; wellnigh they rush upon those who recite to them our signs.

Swahili

na wanapo somewa aya zetu zilizo wazi utaona chuki katika nyuso za walio kufuru. hukaribia kuwavamia wale wanao wasomea hizo aya zetu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and he sendeth down from the heaven mountains wherein is hail, then afflicteth therewith whomsoever he will, and averteth it from whomsoever he will: wellnigh the flash of his lightening taketh away the sights.

Swahili

na huteremsha kutoka juu kwenye milima ya mawingu mvua ya mawe, akamsibu nayo amtakaye na akamuepusha nayo amtakaye. hukurubia mmetuko wa umeme wake kupofua macho.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and he sends down out of heaven mountains, wherein is hail, so that he smites whom he will with it, and turns it aside from whom he will; wellnigh the gleam of his lightning snatches away the sight.

Swahili

na huteremsha kutoka juu kwenye milima ya mawingu mvua ya mawe, akamsibu nayo amtakaye na akamuepusha nayo amtakaye. hukurubia mmetuko wa umeme wake kupofua macho.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

god is the light of the heavens and the earth; the likeness of his light is as a niche wherein is a lamp (the lamp in a glass, the glass as it were a glittering star) kindled from a blessed tree, an olive that is neither of the east nor of the west whose oil wellnigh would shine, even if no fire touched it; light upon light; (god guides to his light whom he will.)

Swahili

tungi lile ni kama nyota inayo meremeta, inayo washwa kwa mafuta yanayo toka katika mti ulio barikiwa, mzaituni. si wa mashariki wala magharibi.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,782,469,013 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK