Results for will save translation from English to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

English

Swahili

Info

English

will save

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

then we will save our messengers and those who have believed.

Swahili

kisha sisi huwaokoa mitume wetu na walio amini.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

except the family of lot; indeed, we will save them all

Swahili

isipo kuwa walio mfuata luut'i. bila ya shaka sisi tutawaokoa hao wote.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

god will save the pious ones because of their virtuous deeds.

Swahili

na mwenyezi mungu atawaokoa wenye kujikinga kwa ajili ya kufuzu kwao.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

“except for the family of lot; we will save them all.”

Swahili

isipo kuwa walio mfuata luut'i. bila ya shaka sisi tutawaokoa hao wote.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

o my people, who will save me from god if i drive them away?

Swahili

na enyi watu wangu! ni nani atakaye nisaidia kwa mwenyezi mungu nikiwafukuza hawa?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and god will save those who maintained righteousness to their place of salvation.

Swahili

na mwenyezi mungu atawaokoa wenye kujikinga kwa ajili ya kufuzu kwao.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

shall i guide you to a commerce that will save you from a painful torment.

Swahili

nikuonyesheni biashara itakayo kuokoeni na adhabu iliyo chungu?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

shall i direct you to a commerce that will save you from a painful punishment?

Swahili

nikuonyesheni biashara itakayo kuokoeni na adhabu iliyo chungu?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

but, allah will save those who fear him with their winnings (paradise).

Swahili

na mwenyezi mungu atawaokoa wenye kujikinga kwa ajili ya kufuzu kwao.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

believers, shall i show you a bargain which will save you from the painful torment?

Swahili

enyi mlio amini! nikuonyesheni biashara itakayo kuokoeni na adhabu iliyo chungu?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

then we will save those who feared allah and leave the wrongdoers within it, on their knees.

Swahili

kisha tutawaokoa wale walio mchamngu; na tutawaacha madhaalimu humo wamepiga magoti.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

for whosoever will save his life shall lose it: and whosoever will lose his life for my sake shall find it.

Swahili

maana, mtu anayetaka kuyaokoa maisha yake mwenyewe, atayapoteza;

Last Update: 2012-12-15
Usage Frequency: 1
Quality:

English

everyone in the heavens and earth will be terrified on the day when the trumpet will be sounded except those whom god will save.

Swahili

na siku litapo pulizwa baragumu, watahangaika waliomo mbinguni na katika ardhi, ila amtakaye mwenyezi mungu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and allah will save those who feared him by their attainment; no evil will touch them, nor will they grieve.

Swahili

na mwenyezi mungu atawaokoa wenye kujikinga kwa ajili ya kufuzu kwao. hapana uovu utao wagusa, wala hawatahuzunika.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

indeed, we will save you and your family, except your wife; she is to be of those who remain behind.

Swahili

hakika sisi tutakuokoa wewe na ahali zako, ila mkeo aliye miongoni mwa watao kaa nyuma.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the son replied: "i will betake myself to some mountain: it will save me from the water."

Swahili

akasema: nitakimbilia mlimani unilinde na maji.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

answer the caller to god, and believe in him; and he will forgive you your sins, and will save you from a painful punishment.”

Swahili

muitikieni mwenye kuitia kwa mwenyezi mungu, na muaminini, mwenyezi mungu atakusameheni, na atakukingeni na adhabu chungu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

they will never taste death therein except the first death (of this world), and he will save them from the torment of the blazing fire,

Swahili

humo hawataonja mauti ila mauti yale ya kwanza, na (mwenyezi mungu) atawalinda na adhabu ya jahannamu,

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

we will save your body on this day so that you may become evidence (of our existence) for the coming generations; many people are unaware of such evidence."

Swahili

leo, basi, tutakuokoa kwa mwili wako, ili uwe ishara kwa ajili ya walio nyuma yako. na hakika watu wengi wameghafilika na ishara zetu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

bethink you: if i am (acting) on clear proof from my lord and there hath come unto me a mercy from him, who will save me from allah if i disobey him?

Swahili

mwaonaje ikiwa ninazo dalili zilizo wazi kutokana na mola wangu mlezi, naye akawa kanipa rehema kutoka kwake - je, ni nani atakaye ninusuru kwa mwenyezi mungu nikimuasi?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.

Get a better translation with
7,780,190,077 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK