Results for woeful translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

that is a woeful resort!

Swahili

na hayo ndiyo marudio mabaya.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

how woeful is their destination!

Swahili

na hayo ndiyo marejeo maovu yaliyoje!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

we delivered them from a woeful chastisement.

Swahili

na tukawaokoa na adhabu ngumu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

woeful indeed will be the lodging of the arrogant.

Swahili

ni maovu mno makaazi ya wafanyao kiburi!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

i fear lest punishment befall you on a woeful day."

Swahili

hakika mimi ninakukhofieni adhabu ya siku chungu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

how woeful is the abode of those who wax proud!

Swahili

basi ni maovu yaliyoje makaazi ya wanao takabari!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

then i seized them; and behold, how woeful was my retribution!

Swahili

kwa hivyo niliwakamata. basi ilikuwaje adhabu yangu!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

but for those who deny the truth, he has prepared a woeful punishment.

Swahili

na amewaandalia makafiri adhabu chungu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

such will have a woeful reckoning, and their habitation will be hell, a dire abode.

Swahili

hao watapata hisabu mbaya kabisa, na makao yao ni jahannamu. na hapo ni pahala pabaya mno!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

but allah's chosen servants (shall be spared this woeful end).

Swahili

isipo kuwa waja wa mwenyezi mungu walio khitariwa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

warn them of the woeful day when the final decree will be issued; they are neglectful and faithless.

Swahili

na waonye siku ya majuto itapo katwa amri. nao wamo katika ghafla, wala hawaamini.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

how woeful is the plight of him who has nothing except his face to shield him from severe chastisement on the day of resurrection?

Swahili

je! atakaye kuwa anapambana kwa uso wake na adhabu mbaya kabisa siku ya kiyama (ni sawa na watenda wema?)

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

eventually allah saved the person endowed with faith from all the evils of their guile, and a woeful chastisement encompassed the pharaonites.

Swahili

basi mwenyezi mungu akamlinda na ubaya wa hila walizo zifanya. na adhabu mbaya itawazunguka watu wa firauni.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the day when the excuses offered by the wrong-doers shall not avail them. they shall be victims of the curse and a woeful abode.

Swahili

siku ambayo hautawafaa madhaalimu udhuru wao, nao watapata laana, na watapata makaazi mabaya kabisa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

those who deny the truth will continue in doubt until the [last] hour suddenly comes upon them or the scourge of the woeful day descends upon them.

Swahili

na walio kufuru hawatoacha kuwa katika wasiwasi kwa hilo mpaka saa iwafikie ghafla, au iwafikie adhabu ya siku tasa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

is the man who follows the good pleasure of allah like the man who draws on himself the wrath of allah, and whose abode is in hell?- a woeful refuge!

Swahili

aliye yafuata ya kumridhisha mwenyezi mungi ni kama yule aliye stahiki ghadhabu ya mwenyezi mungu, na makaazi yake yakawa jahannamu? napo ni mahala pabaya pa kurejea.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

he will go before his people on the day of judgment, and lead them into the fire (as cattle are led to water): but woeful indeed will be the place to which they are led!

Swahili

siku ya kiyama atawatangulia watu wake na atawaingiza motoni. na muingio muovu ulioje huo!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and they are followed by a curse in this (life) and on the day of judgment: and woeful is the gift which shall be given (unto them)!

Swahili

nao wamefuatishiwa laana hapa duniani na siku ya kiyama. ni mabaya yalioje watakayo pewa!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

they shall be hurrying forth towards the caller, and the unbelievers (who had once denied this day), will say: “this is a woeful day.”

Swahili

wanamkimbilia mwitaji, na makafiri wanasema: hii ni siku ngumu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,899,341,110 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK