Results for worsening translation from English to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

English

Swahili

Info

English

worsening

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

child labor exploitation is worsening in the philippines.

Swahili

hali ya utumikishaji wa watoto nchini ufilipino inazidi kushamiri.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

they urged the pope to look into the worsening human rights situation in the country.

Swahili

walimwomba papa kutazama hali ya haki za binadamu yanayozidi kuwa mbaya nchini humo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

these cases are believed to be worsening of a lingering infection rather than re-infection.

Swahili

matukio haya yanaaminika kuwa yanazidi kuongezeka kwa maambukizo ya muda mrefu badala ya maamukizo mapya.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the vietnam human rights network released its 2013 report about the 'worsening' human rights situation in vietnam:

Swahili

mtandao wa haki za binadamu illitoa ripoti yake ya 2013 kuhusu 'hali mbaya' ya haki za binadamu nchini vietnam:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

us president barack obama has announced that he is sending 3,000 american troops to west africa, in view of the worsening crisis, with the virus spreading exponentially.

Swahili

rais wa marekani barack obama ametangaza kwamba anatuma vikosi 3,000 kwenda afrika magharibi, kwa lengo la kukabiliana na hali hiyo inayozidi kuwa mbaya, kufuatia kuenea kwa kasi kubwa kwa virusi vya ugonjwa huo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

meanwhile, oxfam warned that 200,000 survivors in coastal areas are at risk of worsening poverty because the government plans to relocate them to safe settlements without adequate consideration as to how they will later earn a living.

Swahili

wakati huo huo, oxfam ilionya kuwa waathirika 200,000 katika maeneo ya pwani wako katika hatari ya kuathirika zaidi na umasikini kwa sababu mipango ya serikali ya kuwahamishia kwenye makazi salama bila kuzingatia jinsi wataendesha maisha yao baadae.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the blog also offers information on how best to help in the midst of an untenable situation, which, judging by the blog's most recent post, is worsening:

Swahili

blogu hiyo pia imekuwa ikitoa taarifa za njia bora za kutoa msaada katika hali inayochanganya sana, ambayo, kwa kutumia mtazamo wa makala mpya zaidi kwenye blogu hiyo, hali inazidi kuwa mbaya:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

most impressively, the rate for symptomatic worsening (from light to severe) was remarkably lower for the wm+tcm group than for the wm only group (7.4% versus 46.2%) and the mortality was lower in the wm+tcm group than wm only group (8.8% versus 39%).

Swahili

matokeo mema zaidi ni kuwa, viwango vya hali ya wagonjwa wenye dalili kuwa mbaya zaidi (kutoka kwa hali hafifu hadi mbaya zaidi) ilipungua pakubwa kwa kikundi cha wm+tcm kuliko kwa kikundi cha wm pekee (7.4% dhidi ya 46.2%) na viwango vya vifo vilipungua katika kikundi cha wm+tcm kuliko kikundi cha wm pekee (8.8% dhidi ya 39%).

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,783,792,538 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK