Results for worshiping translation from English to Swahili

English

Translate

worshiping

Translate

Swahili

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

i'm worshiping

Swahili

kuabudu

Last Update: 2023-07-04
Usage Frequency: 1
Quality:

English

we were unaware of your worshiping us.”

Swahili

hakika sisi tulikuwa hatuna khabari ya ibada yenu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

nor am i worshiping what you have worshipped,

Swahili

wala sitaabudu mnacho abudu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

they said, “we found our parents worshiping them.”

Swahili

wakasema: tumewakuta baba zetu wakiyaabudu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

surely, in this is a proclamation to a worshiping nation.

Swahili

hakika katika haya yapo mawaidha kwa watu wafanyao ibada.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

do you forbid us to worship what our fathers have been worshiping?

Swahili

je, unatukataza tusiwaabudu waliyo kuwa wakiwaabudu baba zetu?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

are you trying to prevent us from worshiping what our parents worship?

Swahili

je, unatukataza tusiwaabudu waliyo kuwa wakiwaabudu baba zetu?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

make this city a sanctuary, and save me and my children from worshiping idols.

Swahili

ujaalie mji huu uwe wa amani, na uniepushe mimi na wanangu na kuabudu masanamu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

say, “i am forbidden from worshiping those you pray to besides god.”

Swahili

sema: mimi nimekatazwa kuwaabudu hao mnao waomba badala ya mwenyezi mungu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

when he said to his father and his people, ‘what is it that you are worshiping?

Swahili

alimwambia baba yake na watu wake: mnaabudu nini?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and recall that we appointed for moses forty nights. then you took to worshiping the calf after him, and you turned wicked.

Swahili

na tulipo muahidi musa masiku arubaini, kisha mkachukua ndama (mkamuabudu) baada yake, na mkawa wenye kudhulumu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and recall that moses said to his people, “o my people, you have done wrong to yourselves by worshiping the calf.

Swahili

na musa alipo waambia watu wake: enyi watu wangu! hakika nyinyi mmezidhulumu nafsi zenu kwa kuchukua kwenu ndama (kumuabudu).

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

recall that abraham said, “o my lord, make this land peaceful, and keep me and my sons from worshiping idols.”

Swahili

na ibrahim alipo sema: ewe mola wangu mlezi! ujaalie mji huu uwe wa amani, na uniepushe mimi na wanangu na kuabudu masanamu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

i found her and her people worshiping the sun, instead of god. satan made their conduct appear good to them, and diverted them from the path, so they are not guided.

Swahili

nimemkuta yeye na watu wake wanalisujudia jua badala ya mwenyezi mungu; na shet'ani amewapambia vitendo vyao na akawazuilia njia. kwa hivyo hawakuongoka,

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

they said, ‘o shu‘ayb, does your worship require that we abandon what our fathers have been worshiping, or that we should not do with our wealth whatever we wish?

Swahili

wakasema: ewe shua'ibu! ni sala zako ndizo zinazo kuamrisha tuyaache waliyo kuwa wakiyaabudu baba zetu, au tuache kufanya tupendavyo katika mali zetu?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

say, “i was prohibited from worshiping those you invoke besides god, now that clear revelations have come to me from my lord; and i was commanded to submit to the lord of the worlds.”

Swahili

sema: mimi nimekatazwa kuwaabudu hao mnao waomba badala ya mwenyezi mungu, zilipo nijia hoja zilizo dhaahiri kutokana na mola wangu mlezi. na nimeamrishwa nisilimu kwa mola wa walimwengu wote.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,927,603,205 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK