From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
a youngster participates in the protest.
mtoto mdogo akishiriki katika maandamano.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
the outspoken youngster replaces her father who died earlier this year.
msichana huyu jasiri na asiye na woga amechukua nafasi ya baba yake aliyefariki mapema mwaka huu.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
that will maybe influence this youngster to be more sensitive and kinder to elders in his later life.
hiyo inaweza labda kumfanya kijana huyu aelewe na kuwa mkarimu kwa wazee katika maisha yake ya baadae.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
many of these youngsters are taken under false pretence and the promise of regular salary and a stable job with a un/eu/au backed military project.
wengi wa vijana hawa wanachukuliwa kwa kudanganywa na kuahidiwa mshahara mzuri pamoja na kazi inayoaminika kwenye miradi ya kijeshi ya umoja wa mataifa/umoja wa ulaya/umoja wa afrika..
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: