Results for du translation from Esperanto to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Esperanto

Swahili

Info

Esperanto

kaj kiam vesperigxis, li venis kun la dek du.

Swahili

ilipokuwa jioni, yesu alifika pamoja na wanafunzi wake kumi na wawili.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Esperanto

kaj ili cxiuj estis cxirkaux dek du viroj.

Swahili

wote jumla, walikuwa watu wapatao kumi na wawili.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Esperanto

kaj li diris:unu viro havis du filojn;

Swahili

yesu akaendelea kusema, "kulikuwa na mtu mmoja mwenye wana wawili.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Esperanto

kaj auxdinte, la dek indignis kontraux la du fratoj.

Swahili

wale wanafunzi wengine kumi waliposikia hayo, wakawakasirikia hao ndugu wawili.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Esperanto

de cxi tiuj du ordonoj dependas la tuta legxo kaj la profetoj.

Swahili

sheria yote ya mose na mafundisho ya manabii vinategemea amri hizi mbili."

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Esperanto

la unua veo jam pasis; jen post tio venas ankoraux du veoj.

Swahili

maafa ya kwanza yamepita; bado mengine mawili yanafuata.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Esperanto

cxar kie du aux tri kunvenas en mia nomo, tie mi estas meze de ili.

Swahili

kwa maana popote pale wanapokusanyika wawili au watatu kwa jina langu, mimi nipo hapo kati yao."

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Esperanto

denove la sekvantan tagon staris johano, kaj du el liaj discxiploj;

Swahili

kesho yake, yohane alikuwa tena mahali hapo pamoja na wanafunzi wake wawili.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Esperanto

jen du ekzemploj de partoprenantoj en ĉi tiu defio, kiuj alŝutis sian filmeton al jutubo.

Swahili

hapa kuna mifano miwili ya washiriki wa zoezi hili, walioweka video kwenye mtandao youtube.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Esperanto

du virinoj estos muelantaj apud muelilo:unu estos prenita, kaj la alia lasita.

Swahili

kina mama wawili watakuwa wanasaga nafaka, mmoja atachukuliwa na mwingine ataachwa.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Esperanto

por mi, mi metas du vortojn de mia nomo kiel unuan nomon, kaj la lastan vorton kiel familinomon.

Swahili

kwa upande wangu, huwa ninajaza maneno mawili ya kwanza kutoka katika jina langu kama jina la kwanza na neno la mwisho kama jina la ukoo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Esperanto

cxu oni ne vendas du paserojn por asaro? tamen unu el ili ne falos teren sen via patro;

Swahili

shomoro wawili huuzwa kwa senti tano. lakini hata mmoja wao haanguki chini bila kibali cha baba yenu.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Esperanto

du homoj supreniris en la templon, por pregxi; unu estis fariseo, kaj la alia estis impostisto.

Swahili

"watu wawili walipanda kwenda hekaluni kusali: mmoja mfarisayo, na mwingine mtoza ushuru.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Esperanto

kaj estis donita al gxi busxo, parolanta grandajxojn kaj blasfemajxojn; kaj estis donita al gxi auxtoritato agadi dum kvardek du monatoj.

Swahili

kisha huyo mnyama akaruhusiwa kusema maneno ya kujigamba na kumkufuru mungu; akaruhusiwa kuwa na mamlaka kwa muda wa miezi arobaini na miwili.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Esperanto

kaj kiam jesuo foriris de tie, du blinduloj sekvis lin, kriante kaj dirante:kompatu nin, ho filo de david.

Swahili

yesu aliondoka hapo, na alipokuwa anakwenda, vipofu wawili walimfuata wakipiga kelele, "mwana wa daudi, utuhurumie!"

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Esperanto

Ĉi tiu estas du-flanka dvd. vi komencis de la dua flanko. turnu la dvd-diskon aliflanke kaj daŭrigu.

Swahili

dvd hii ni ya pande mbili. ume anzisha tarakirishi na upande wa pili pindua dvd na uendelee

Last Update: 2014-08-15
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,953,285,414 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK