Results for ananias translation from Estonian to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Estonian

Swahili

Info

Estonian

aga keegi mees, ananias nimi, oma naise safiiraga müüs oma varanduse

Swahili

mtu mmoja aitwaye anania na mkewe safira waliuza shamba lao vilevile.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Estonian

aga ülempreester ananias käskis neid, kes ta lähedal seisid, lüüa temale vastu suud.

Swahili

hapo kuhani mkuu anania akaamuru wale waliokuwa wamesimama karibu na paulo wampige kofi mdomoni.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Estonian

siis keegi ananias, käsuõpetuselt jumalakartlik mees, kellel oli hea tunnistus kõigi sealsete juutide poolt,

Swahili

"huko kulikuwa na mtu mmoja aitwaye anania, mtu mcha mungu, mwenye kuitii sheria yetu na aliyeheshimika sana mbele ya wayahudi waliokuwa wanaishi damasko.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Estonian

aga viie päeva pärast tuli alla ülempreester ananias mõnede vanematega ja ühe kõnemehe tertullusega, ja nad tõstsid maavalitseja ees kaebust pauluse peale.

Swahili

baada ya siku tano, kuhani mkuu anania aliwasili kaisarea pamoja na wazee kadhaa na wakili mmoja wa sheria aitwaye tertulo. walimwendea yule mkuu wa mkoa wakamweleza mashtaka yao juu ya paulo.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Estonian

ja on nägemuses näinud mehe, ananias nimi, sisse tulevat ja käe ta peale panevat, et ta nägemise tagasi saaks!”

Swahili

na katika maono ameona mtu aitwaye anania akiingia ndani na kumwekea mikono ili apate kuona tena."

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Estonian

ananias vastas: „issand, ma olen mitmelt kuulnud sellest mehest, kui palju ta on kurja teinud sinu pühadele jeruusalemmas;

Swahili

lakini anania akajibu, "bwana, nimesikia habari za mtu huyu kutoka kwa watu wengi; nimesikia juu ya mabaya aliyowatendea watu wako huko yerusalemu.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Estonian

aga peetrus ütles: „ananias, mispärast on saatan täitnud su südame, et sa valet rääkisid pühale vaimule ja kõrvale toimetasid muist põllu hinda?

Swahili

basi, petro akamwuliza, "anania, mbona shetani ameuingia moyo wako na kukufanya umdanganye roho mtakatifu kwa kujiwekea sehemu ya fedha ulizopata kutokana na lile shamba?

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Estonian

ent damaskuses oli üks jünger, ananias nimi. sellele ütles issand nägemuses: „ananias!” tema vastas: „issand, vaata, siin ma olen!”

Swahili

basi, huko damasko kulikuwa na mfuasi mmoja aitwaye anania. bwana akamwambia katika maono, "anania!" anania akaitika, "niko hapa, bwana."

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,920,046,171 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK