From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
kui te nüüd ülekohtuses mammonas ei ole ustavad olnud, kes v
kama basi, ninyi si hamjawa waaminifu mali mbaya za dunia, ni nani atakayewakabidhi zile mali za kweli?
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
nõndasamuti olgu nende naised ausad, mitte keelepeksjad, kained, ustavad kõigis asjus.
wake zao wanapaswa pia kuwa na tabia njema, wasiowasengenya watu, wenye kiasi na waaminifu katika mambo yote.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
nemad hakkavad sõdima tallega, ja tall võidab nad ära, sest tema on isandate isand ja kuningate kuningas, ja ühes temaga võidavad need, kes on kutsutud ja valitud ja ustavad!”
watapigana na mwanakondoo, lakini mwanakondoo pamoja na wale aliowaita na kuwachagua, ambao ni waaminifu, atawashinda kwa sababu yeye ni bwana wa mabwana na mfalme wa wafalme."
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
ja kes aujärjel istus, ütles: „vaata, ma teen kõik uueks!” ja ta ütles: „kirjuta, sest need sõnad on ustavad ja tõelised!”
kisha yule aliyeketi juu ya kiti cha enzi akasema, "tazama, nafanya yote mapya." tena akaniambia, "andika hili, maana maneno haya ni ya kuaminika na ya kweli!"
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting